Geraldo DaVinci
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 277
- 37
duh hivi kumbe hizo ch*pi za TMK bado zipo
fundi usiwe zuzu hapo ndoa hauna
fundi usiwe zuzu hapo ndoa hauna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda alinunua chupi ya mtumba ndio maana ina tundu
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.
"Amerudi saa 2.30 usiku kutoka kwenye mazoezi ya kwaya, wakati
anabadili nguo ndipo nilipomuona akiwa na nguo hiyo ya ndani ambayo
ilikuwa na maandishi kwenye ufito, TMK WANAUME FAMILY. Nilipomuuliza
kwanza alishtuka........ kisha akaniambia ameinunua mwenyewe. Nikamuuliza
kwanini chupi ya kiume, akajibu hakuna chupi ya kiume ila kuna chupi za
kike, hata ingekuwa hivyo mke wangu si mpenzi wa nguo za maandishi ya
ajabu na hiyo chupi sijawahi kumuona nayo hata siku moja! na si MPYA inaonekana
imetumika kwani kuna sehemu ina tobo lakini mke wangu kang'ang'ania
hakuna chupi za wanaume peke yao lakini zipo za wanawake peke yao
Kweli inanitia mashaka."
Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.

Na mimi natafuta girl friend from znz
Ni kwaya ya Chama mkuu!hamna lolote hyo alkuwa kwa baba mchungaj!!! km vp na w nunua chup ya kike iliyoandkwa JAHAZ MORDEN TAARAB thn unaichakaza kwnza alaf unaweka na ktobo tena pale kunako ile kitu ytu..cku na w unamvulia mana c wanasema dawa ya moto n moto banaaaa!!!
Ile kwaya ni ya Chama cha Siasa labda kama angeenda kumuulizachakufanya unge mshauli aende kwa pastor kumuliza kwa ushahidi zaidi kwa ukitaka ushauri mfate mchungaji maana unaoneka dini himo kichwa.
(UKISOMA UTAKULA VYA MJINGA)