Mke wangu karudi akiwa amevaa chupi ya kiume!

Huenda alinunua chupi ya mtumba ndio maana ina tundu

Yaani kuna MITUMBA YA NDANI (mitumba inayokusanywa hapahapa Bongo)? Maana hiyo nguo yenye tundu ya TMK haijatoka nje ya nchi!

Mie nimezoea kusikia UTALII WA NDANI; ila Mitumba ya ndani hii ni mpya kabisa!
 
teh ahse ili game lilikuwa taffu mixture kuxahau chupi yake kah kwer ilikuwapata shka baba kama ni wewe huumkasa man dah umeangukia pua tena kwenye jiwe yan pah!
Ni no love at all bna as some song sing eminame+lilwizy.
 
Itakuwa ndo huyu aliyekimbia mtaani huku kwenye geto la masela.Katoka baro vibaya mno kupigwa mtungo unafanya masiala nini.Mkuu kama unabisha ingia kati leo kama hujapwaya ndo uniamini.Lazima usiku aote na utasikia alivyokuwa analalamika.Pole bana kumbe mzoga wako uvumilie tu ila utakuwa umejifunza.
 
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.
kisukari tatizo huyo bibie hakuinunua siku hiyo maana ilikuwa ina kitobo! Labda kama alinunua ya mtumba.
 
Last edited by a moderator:
Bora umesema wewe. Halafu boxer zinakuwa ni quality cotton na ukivalia suruali haiweki mstari wa aibu. Kama hapendi tong na g string bora avae za mapanga shwaaa!
jamani chupi za kiume ni quality.haziishi haraka kama za kike.labda ameona bora anunue chupi za kiume.
 
hamna lolote hyo alkuwa kwa baba mchungaj!!! km vp na w nunua chup ya kike iliyoandkwa JAHAZ MORDEN TAARAB thn unaichakaza kwnza alaf unaweka na ktobo tena pale kunako ile kitu ytu..cku na w unamvulia mana c wanasema dawa ya moto n moto banaaaa!!!
 
Ana pepo, msaidie kulikemea litatoka. Hivi wanawake nao tumekuwa wasanii kiasi hiki? Nimechoka na hii story kama ni kweli. Pole sana. chukua hatua.
 
Je alitoka nyumbani ameivaa??????????
 
Aisee, umenifurahisha balaa! Wewe ni bonge la mbunifu. Kisa chako kizuri zaidi ya vile vya Abunuwasi! Keep it up. Kwa ulivyoanza, naamini tu, naamini kisa hakina ukweli!!!
 
chakufanya unge mshauli aende kwa pastor kumuliza kwa ushahidi zaidi kwa ukitaka ushauri mfate mchungaji maana unaoneka dini himo kichwa.
(UKISOMA UTAKULA VYA MJINGA)
 
ah jiongeze mkubwa , ukiona manyoya ujue ameliwa . kitu cha tmk ndio nyoya lenyewe hilo
 
Kwa sasa ni kunyamaza kama umekubaliana na yeye kujitetea na kuendelea na maisha kama vile umesahau.
Sasa cha kufata ni kwenda huko kwenye kwaya na kujificha kumfatilia akitoka au kabla hajaingia kwaya inakuwaje.

Hakuna kujionyesha kufatilia kitu.

Akili kichwani kama anaenda nje atakamatwa.
 
ughuli unaiweza ama mume *****?wewe umetoka mara ngapi, au huna hela,tuelezane
 
hamna lolote hyo alkuwa kwa baba mchungaj!!! km vp na w nunua chup ya kike iliyoandkwa JAHAZ MORDEN TAARAB thn unaichakaza kwnza alaf unaweka na ktobo tena pale kunako ile kitu ytu..cku na w unamvulia mana c wanasema dawa ya moto n moto banaaaa!!!
Ni kwaya ya Chama mkuu!
 
chakufanya unge mshauli aende kwa pastor kumuliza kwa ushahidi zaidi kwa ukitaka ushauri mfate mchungaji maana unaoneka dini himo kichwa.
(UKISOMA UTAKULA VYA MJINGA)
Ile kwaya ni ya Chama cha Siasa labda kama angeenda kumuuliza
Katibu wa Sera na Uenezi wa Tawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…