Mke wangu karudi akiwa amevaa chupi ya kiume!

hapo inaoneka jamaa hana sauti ila naona ushaidi na uamuzi ni juu yako maana unamuelewa mkeo hapa utapata maelezo au maelekezo yasiyokufaa na mengine yanayokufaa kabisa chekecha na uchukue maamzi
 
Akome, wakati wanaume wenzake wapo kwenye vikao, yeye kazi kumchungulia mkewe.
 
Ni mkasa uliomkuta Fundi ujenzi ambaye ananijengea banda langu la kuku hapa majohe.
Mwisho wa yote aliniomba ushauri juu ya nini cha kufanya.

Hapo mkuu umemegewa na teja
 
Mvalishe ya kike just easy like that
 
ukiona manyoya jua ameliwa kaka .hapa anatafuta ushahidi
 
co talaka tatu tuu,na meno mdomoni maana wanawake wanachezea akili zetuu
Hamna kitu mhesahimiwa,tatizo mmezoea kumega mademu na wake za watu so mkimegewa mnopiga kelele,kifupi mwana amua mwenyewe,kwani yeye hajawahi kwenda kumega nje?kama ndio basi auchune tu!
 

Kama ni ya kiume na wala si yako, basi
1. Kuna mtu kampoka
2. Yake ilitumika kama leso.....imechafuka
3. Alitaka akuoneshe kwamba anajua kuimba hata kwaya ya aina hiyo!
 
huyo mwanamke most probably alikurupushwa huko alikokuwa, akatoka nduki kabla hajafuta ushahidi.. jamaa angemkagua, lazima angekuta vitu ndani ya kitu...
 

Kwani kitu chochote ikiwa kimetumika lazima kiwe na tobo? Kamuulize lile tobo liko pale kwa ajili ya kupitishia nini.

 
We vipi! mbona bwana mmoja aliona ya mkewe ya rangi nyeupe na nyekundu imeandikwa chadema,akashangilia..PEOPLE,,mkewe akajibu..POWER..we vipi?
 
huu mkasa ni wako wewe mwenyewe mzeee, umeliwa mke tena na masharobaro wa bongo fuleva au wavuta bange. mtimizie mkeo haki ya ndoa ili atulie home, aache kuparamia wavuta bange, wasukuma tolori na walisha ng'ombe. pole.
Du!! kama ni hayo hakika noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…