Mke wangu karudi kwenye dini yake

hahhaha na hii ioitokea amelazimishwa kama vile mimi siwez kubadiri dini ila wewe ndio ubadili tufunge ndio hii ni kama blackmailing fulani hivi ya kihuni ila mtu akibadili mwenyewe kwa utashi wake kwa kuvutiwa na hio imani hawa hawarudigi nyuma, utaona tu pisi imeanza kusikiliza gospel yenyewe anakula tutorial za bible kimyakimya anaomba apelekwe church bila shuruti alkadharika utaona mdada anaanza kufungu ushungi mwenyewe na ramadhani anafunga jua kabisa uyo ameelewa anachokitaka
 
Akirudi maana yake hakuna ndoa imeshavunjika mnaishi sogea tukae kuanzia sasa hivi

Ulivombadilisha ulimfundisha uislam?

Wewe unaswali swala tano?

Ulimfundisha kuswali na afuate mafundisho yake?
Wee shangazii muacheni binti wa watu arudi ktk dini yake.
 
Hiyo midini yenyewe mmeletewa, mnaishika mtadhani ni ya kwenu.
 
Kaivunja Mwenyewe ndoa Kiburi ni Watoto Do like a Man 👨 Timua, Msaliti kama Wasaliti Wengine
 
Familia yenu ni dhaifu mno
 
Sasa wewe ndugu yangu ulitaka tukushauri nini katika jambo binafsi la imani ya mkeo?
Ulitaka kumwacha kisa karudi kwenye dini yake?
Ulitaka kuitisha kikao cha ndugu ili hilo lijadiliwe?

Fahamu tu, imani ni suala binafsi tena jambo la rohoni, mkeo kaamua kuufuata moyo wake na kaamua kutokuwa mnafiki, hapo unatakiwa kumpenda zaidi, kumheshimu zaidi na kuwa karibu naye zaidi ili kuimarisha ndoa yenu.
 
Ndipo kwenye AMANI 👍
 
Mtupie majini! Nenda msikitini yaamuuru majini yamwingie na kumrejesha msikitini! Hayo majini yakishindwa basi mwache aendelee na Mungu wake!
 
kama mkeo ni mkatoliki mnaweza kufunga ndoa ya mseto kila mmoja akabaki na dini yake,lakini kwanza chunguza ni kwanini amerudi kwenye dini yake?
kuna sababu nyingine ambayo imefichika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…