Mke wangu karudi kwenye dini yake

Mke wangu karudi kwenye dini yake

Tatizo ni kufwata maagizo.. Miili yetu imeumbwa kutokana na mazingira tuyayoishi ni ngumu sana kukifwata kitu ambacho kinachohusu roho.. Anyway Mungu awatangulie katika ndoa yao
Ni kweli kabisa
 
Dini ni ujinga ulioletwa afrika kutupumbaza ona sasa ,watu wanafarakana kisa dini za wakoloni
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
Nawewe badilisha umfuate ili watoto wasihangaike,
kwani wakati unamuoa hukuwaona waislam wenzio?
maana wanaume ndo tunachumbia,wanawake wanachumbiwa,
kilichokuvutia ukamchumbia ndo kimemvutia kuirudia dini yake.
 
Mwanaume anae ongopa kuacha mke kisa watoto naona kama hana vipaumbele na ni muoga wamaisha, hapo hsmna ndoa mteme maramoja kukuepa madhara hatari ya badaye.
Huwezi kueka madhara ya mtu uliyekwisha zaa naye,labda watoto nao uwafukuze,bado sheria itakubana,
nasema tena uoni kwenye dini zenu.
 
Itakuchukua muda mrefu saana kumaster mambo yote, dini imegusa maisha ya kila siku ya mwanadamu, ndoa, mali, mzazi, mlezi, yatima na kila kitu.

Chukua kitabu cha fizikia, kemia.. Uanze kujifunza wewe mwenyewe, uone itakuchukua muda gani kumaster kila kitu, yaan heat, light, modern physics, electronics huko, sijui mechanics, sijui wave huko etc.
Itakuchukua muda sana, ila leo ukikwama, ukajiuliza kwanini mtu akishuka kwenye gari inayotembea akashuka kama mnazi anaanguka, ikiwa hujui kitu utapata tabu, kwanza huwezi jua hiyo ni physics gani, unaweza kwenda kusoma wave huko, kumbe jibu lipo huku kwenye mechanics.
Nimekuelewa kaka. Niliuliza kwa sababu kuna uzi nimeona jamaa anawaambia watu Waisrael wale waliovuka bahari nyekundu walikuwa Waislamu.

Nikawa najiuliza mtu kama huyo hayo mafundisho ameyapata wapi, kwa kiongozi wake wa dini au kwenye kitabu?
 
Ungemuuliza kwanini, mie naweza sema si waisalam kwa sababu zangu, nae anaweza akasema ni waislam na sababu zake zikawa na mashiko kwa wengine, kila jibu ni sahihi ama si sahihi, kutegemea na sababu.
 
Si ulimbadilisha dini alafu hukutaka kumfundisha dini kwanzia hapo alipo ritad ndoa tayari imeshavunjika hakuna ndoa kati ya muislam na asiekua muislam mruhusu arudi kwao.
Wewe mbona umeolewa na Mume mkristo na mnapeta tu.
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
Hapo hakuna ndoa zaidi ya makwazano. Amevunjq makubaliano. Ulimuoa baada ya yeye kukubali kufuata imani yako. Kaa mzungumze mtafute suruhu.
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
Heshimu maamuzi yake na ulipaswa kujua ulimshinda kwa sababu ipi?
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
Elewaneni watoto wawe dini yako wewe baba usiwe king'ang'anizi utawachanganya au subiri wakue wachague wao
 
Habari wakuu,

Naombeni mnishauri.

Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam.

Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na upendo.

Sasa hivi karibuni nimegundua mke wangu amerudi kwenye dini yake na nimemuuliza amekubali na amesema uislam umemshinda kama nampenda niishi nae hivi hivi tu na ukiristo wake.

Sasa jamani niko njia panda sjui nifanyeje maana naona kama watoto wangu watahangaika mara leo mskitini kesho kanisani.

Hebu nisaidieni.
muwe mnaoa waislam wenzenu kuepuka haya !!
Dini ya kuaminishwa ukubwan kazi
 
Back
Top Bottom