Mke wangu karudi kwenye dini yake

Kwenye dini zote vijana wa kiume tuko nyuma sana.
Ni wachache sana wanaozingatia ibada.

Afadhari waislam mwezi huu wacRamadhani utawakuta vijana wameshika dini zao baada ya hapo wanapotea, wala huwezi mtambua kwa dini yake.
 
Nami najua hivyo hakuna ndoa, ila akienda kwa sheikh kuna vitu anaweza kupata pata, JUNGU KUU halikosi ukoko.

Ukinbadilisha mtu dini wewe ndio una dhima ya kumuongoza vema kwenye masuala ya dini.
 
Kwenye dini zote vijana wa kiume tuko nyuma sana.
Ni wachache sana wanaozingatia ibada.

Afadhari waislam mwezi huu wacRamadhani utawakuta vijana wameshika dini zao baada ya hapo wanapotea, wala huwezi mtambua kwa dini yake.
Vita ya mtu na nafsi yake ndio mapigano makubwa zaidi, ndio jihad kubwa na ngumu zaidi.
Binadamu wengi tunashindwa kuziendeaha nafsi zetu il nafsi zetu zinatuendesha sisi, ndio maana tunapotea kwenye njia(dini) .
 
Kabisa mkuu, ni janga hili.

Vijana wakiwa wadogo mpaka miaka 15 hivi (kwa wa kiume) huwa ni watu wa dini na wafuata maadili baada ya hapo daah ni hawashikiki kabisa.

Wa kike ndo mapema kabisa wanakacha mambo ya dini.

Dini zinabaki kwa ajili ya sikukuu tu
 
Ukifuata dini kama kweli wewe mtu wa dini, hapo hakuna ndoa.
Kama mtaachana nipe namba zake nimsaidie.
 
Mfuate achana na dini ya kijanjajanja.
 
Si ulimbadilisha dini alafu hukutaka kumfundisha dini kwanzia hapo alipo ritad ndoa tayari imeshavunjika hakuna ndoa kati ya muislam na asiekua muislam mruhusu arudi kwao.
 
Shida mwenzio anakufata kwenye Dini yako wakati huo wewe huna habari na Dini yako. Kuna watu wamebadilishwa Dini na waume zao na hata baada ya kuachika walibakia na Imani zao zile zile
 
Sasa hapo angeahirisha kuoa tuu maana lengo lilikuwa awe na wake wawili. Angemwomba mkewe yaishe waendelee na maisha.
Jamaa alikaza, hata sisi tulimshangaa sana maana ndoa imeshakuwa na umri mkubwa sana. Mpaka tukahisi mchepuko ulimroga. Mwisho akamlima taraka, Leo hii wapo mahakama ya rufaa wanagawana mali
 
Jamaa alikaza, hata sisi tulimshangaa sana maana ndoa imeshakuwa na umri mkubwa sana. Mpaka tukahisi mchepuko ulimroga. Mwisho akamlima taraka, Leo hii wapo mahakama ya rufaa wanagawana mali
Hasara kubwa zaidi!

Hata huyu akijitingisha kidogo tu watafika huko azidi kuumia,mara nyingi watu hupuuzia kipengele cha dini wakati wa kuoa lakini ni cha kuzingatia sana.
 
Sijui lini Africans tutaamka kuhusu hizi dini zilizokuja na meli
 
Religion is the opium of the people.
 
Watu mnapenda shida.... sasa kama anaendelea kutimiza majukumu yake ya kila siku kama kawaida wewe unapungukiwa nini?
Pambana na wanao, ya kwake muachie unless aanze mishe za kushinda kanisani bila kuwa na kiasi
 
mwenzako kwa upande wake alikuvumilia akakaa kwenye dini yako miaka yote hiyo. ni zamu yako sasa wewe nawe ubadili dini uwe mkristo. nakushauri uwe mkristo, mkeo amechoka kujidanganya nafsi yake kuabudu dini isiyo na maadili ya Mungu wa kweli.
 
Kwa miaka yangu mingi nimeishi, sijawahi kuona mwanamke aliyebadili dini toka ukristo kwenda uislam asijute, huwa wanafika kipindi wanajuta na kujilaumu. wanawake wa Kikristo kuweni makini, hakuna ambaye hajawahi kuharibikiwa alipobadili dini kuwa muislam, utajuta tu, ni suala la muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…