Mke wangu karudi kwenye dini yake

Ahaaaa
 
piga chini
 
shemeji yetu anafuata mdudu
 
Unaloongea ni ukweli mtupu asilimia mia
kwenye makanisa ya kikatoliki haipiti mwezi bila kuungamisha wanawake waliokana Imani

Dada yangu anajuta hadi kesho kwa kubadili dini ila anaona aibu kwenda kuungamana mbele ya madhanahu

Wasichana wa kikristu ni wajinga sana, sijawahi kushuhudia msichana ambaye hakujuta kuwa Muislam
 
Dini ni suala binafsi na wala sio suala la familia.
Kila mtu anauhuru wa kuabudu haijalishi mwenza wake ni wa dini gani anaweza kubadili dini muda wowote.
Dini ni suala la kiroho ni suala lisilohusiana na mwenza wako ila binafsi kabisa.
Sasa huwezi kumlazimisha mwenza wako afuate Imani yako kwa sababu yeye sio wewe.
Madhara watakayopata watoto kwakutolelewa na mama yao nimakubwa kuliko hayo ya kuwa na wazazi wenye dini tofauti.
Hata watoto wakikua huenda wasiwe wadini zenu wazazi wakaamua dini waitakayo na hautakua na chakufanya kwasababu hii sio nchi ya kidini na dini ni suala la hiari.
Familia ni taasisi kubwa kuliko dini.
 
Nguruwe anakula?
 
Nawaambia watu wanaotaka kuoana kuwa kigezo Cha kwanza ni nyinyi mnaotaka kuoana kuwa dini moja
 
Mwanaume anae ongopa kuacha mke kisa watoto naona kama hana vipaumbele na ni muoga wamaisha, hapo hsmna ndoa mteme maramoja kukuepa madhara hatari ya badaye.
Wewe Bado unakua ni kijivulana kwahivo si makosa Yako sikulaumu, siku Moja utakuwa....harufu ya perfume huwezi kuisikia Kwa kuangalia picha.....
 
Hizi Imani mlizoletewa na wakoloni na wafanya biashara ya utumwa zinawasumbua sana bila sababu, na mkumbuke Kila mtu amekuja duniani Kwa time yake na ataondoka Kwa time yake na haijalishi ni mke wako au mtoto wako, mind your business usilazimishe mambo yako hata Kwa watoto wako
 
Mbona mpo DINI MOJA TU labda ujui maana ya dini au hauna akili ...kuna dini mbili tu milele ...DINI YA UOVU NA DINI YA HAKI hizi ndizo dini pekee ulimwenguni leo hii waislamu na wskristo wana mgombea shoga au fisadi au jambazi au taperi au malaya au mlevi wakisema ni dini yao ...kwa waislamu wa sasa mlevi muislamu ni bora kuliko mkristo mlevi na kwa wakristo mlevi mkristo ni bora kuliko mlevi muislamu .....ukweli ni waislamu na wakristo wote mpo kwenye upumbavu maana mnadhani kuwa dhambi ni ukristo hivyo pasipo ukristo dhambi isingekuwako na wakristo wanadhani dhambi ni uislamu pasipo uislamu dhambi isingekuwako.
 
Sijui lini Africans tutaamka kuhusu hizi dini zilizokuja na meli
Yaani dini zimetugawa kweli. Hebu tujiulize, je hakuna ndoa za dini moja zilevunjika. Ukienda mahakamani sababu kuu za kuvunja ndoa la kubadili dini ni asilimia ndogo au hakuna kabisa.

Na tukae tukijua kwamba hakuna diniitampeleka mtu mbinguni. Hivi hamjiulizi ni kwa nini kuna utitiri wa dini duniani?
Kila mmoja anavutia kwake , na wengi tumejikuta kwenye hizo dini kwa default.
Kazi kweli.
 
Kwa kuongezea, maisha yako binafsi ni muhimu kuliko kitu chochote. Linda afya yako ya mwili na akili. Mtu mwingine asikufanye uteseke bila sababu ya msingi
We only live once. Nimepoteza kaka zangu wa 2 mwaka huu kwa kupata depression zilizosababishwa na the so called ndoa. Kaa mbali na kitu chochote kinachokupa stress.
 


Hao.ndoa zimewashinda kwa sababu nyingine na wala sio dini. Walikuwa na matarajio mengi kwenye ndoa sasa walichofuata hwajakipata ndio maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…