magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mkuu mi naomba kuuliza. Hivi haiwezekani kuzijua taratibu za dini ya kiislamu bila kukaa na kiongozi wa dini?Onana na kiongozi wako wa msikiti, umpe hicho kisa akikwambia ndoa ipo kisheria basi ruhuaa kuendelea nae(utamuacha tu kwa maamuzi yako) ila watoto wape elimu nzuri ya dini uhakikishe wameijua na usiwalazimishe upande wa kuwepo, kikubwa wape elimu.
Ima sheikh akisema ndoa hamna hapo, basi huna budi kuachia goma.
Je ulivyombadili dini ulimpa elimu ya dini, ulikuwa kiongozi mzuri kwake, ama ndio ile muislam jina, ukiwa muislam lazima uoneshe athari za uislam wako, marafiki, majirani n.k wote wapate athari kwamba huyu kweli ni muislam
Pole kwa yote mkuu.
Kwa mfano huku kwetu ukishika Biblia kuna kila kitu na ndio maana akitokea mpotoshaji ni rahisi kumgundua japo matapeli yana nguvu sana siku hizi.