Mke wangu karudi kwenye dini yake

Tatizo ni kufwata maagizo.. Miili yetu imeumbwa kutokana na mazingira tuyayoishi ni ngumu sana kukifwata kitu ambacho kinachohusu roho.. Anyway Mungu awatangulie katika ndoa yao
Ni kweli kabisa
 
Dini ni ujinga ulioletwa afrika kutupumbaza ona sasa ,watu wanafarakana kisa dini za wakoloni
 
Nawewe badilisha umfuate ili watoto wasihangaike,
kwani wakati unamuoa hukuwaona waislam wenzio?
maana wanaume ndo tunachumbia,wanawake wanachumbiwa,
kilichokuvutia ukamchumbia ndo kimemvutia kuirudia dini yake.
 
Mwanaume anae ongopa kuacha mke kisa watoto naona kama hana vipaumbele na ni muoga wamaisha, hapo hsmna ndoa mteme maramoja kukuepa madhara hatari ya badaye.
Huwezi kueka madhara ya mtu uliyekwisha zaa naye,labda watoto nao uwafukuze,bado sheria itakubana,
nasema tena uoni kwenye dini zenu.
 
Nimekuelewa kaka. Niliuliza kwa sababu kuna uzi nimeona jamaa anawaambia watu Waisrael wale waliovuka bahari nyekundu walikuwa Waislamu.

Nikawa najiuliza mtu kama huyo hayo mafundisho ameyapata wapi, kwa kiongozi wake wa dini au kwenye kitabu?
 
Nimekuelewa kaka. Niliuliza kwa sababu kuna uzi nimeona jamaa anawaambia watu Waisrael wale waliovuka bahari nyekundu walikuwa Waislamu.

Nikawa najiuliza mtu kama huyo hayo mafundisho ameyapata wapi, kwa kiongozi wake wa dini au kwenye kitabu?
Ungemuuliza kwanini, mie naweza sema si waisalam kwa sababu zangu, nae anaweza akasema ni waislam na sababu zake zikawa na mashiko kwa wengine, kila jibu ni sahihi ama si sahihi, kutegemea na sababu.
 
Si ulimbadilisha dini alafu hukutaka kumfundisha dini kwanzia hapo alipo ritad ndoa tayari imeshavunjika hakuna ndoa kati ya muislam na asiekua muislam mruhusu arudi kwao.
Wewe mbona umeolewa na Mume mkristo na mnapeta tu.
 
Hapo hakuna ndoa zaidi ya makwazano. Amevunjq makubaliano. Ulimuoa baada ya yeye kukubali kufuata imani yako. Kaa mzungumze mtafute suruhu.
 
Heshimu maamuzi yake na ulipaswa kujua ulimshinda kwa sababu ipi?
 
Elewaneni watoto wawe dini yako wewe baba usiwe king'ang'anizi utawachanganya au subiri wakue wachague wao
 
muwe mnaoa waislam wenzenu kuepuka haya !!
Dini ya kuaminishwa ukubwan kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…