Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

Hapo pia atatafuta mwingine wa kuiendeleza. Arudishe frem kwa kanisa tu
 
mkuu usijibu hivyo,bado hujaoa,ndoa ina mambo mengi,sio kila kosa ni la kupiga au kuacha mke,mna watoto wa nne,kosa hilo tu umfukuze arudi kwao,sio rahisi kiivyo kiongozi.
Weeee weeeee weee nmeona, Mimi Toka harakati zangu za mapenzi, Huwa nahakikisha mwanamke ni kiumbe kinyonge kwangu.

Pitia pitia nyuzi zangu, ndo utajua Mimi ni mwanaume wa aina gan.

Mwanamke ni Chombo Cha STAREHE ..unaelewa maana ya kua Chombo Cha STAREHE?
 
Sasa kiongozi,ukimchukulia mwanamke ni chombo cha starehe utafeli vibaya mkuu,hata familia huwezi jenga imara,utakuwa unaacha na kuoa kila leo,punguza hasira mkuu..
 
Umefeli pakubwa we nyau wewe. Mwanamke anakuwaje na mandate kubwa kiasi hicho kwenye biashara? Yeye alitakiwa awe chini Yako yaani afanye kazi Kwa kujua kuwa unamfatilia. Yeye auze na jioni mfunge mahesabu pamoja Tena ukibaini upotevu kuwa mkali. Sasa miaka miwili yeye anaendesha biashara Kwa kufunga na kifungua mahesabu peke yake! Trust me atakua anawekeza mahali Fulani naukizingua mtaachana na yeye atakua mbali Sana.

Wewe hutambui nafasi Yako Kama mwanaume na yeye amejua Hilo ndiomaana anaendelea kukusumbua. Mtoe dukani arudi kulala kwenye korido za nyumba na dukani weka mtu. Yaani we jamaa ningekua jirani nawe ningekutwanga makofi fuvu likae sawa. Miaka miwili hujui mtaji upo au umekua kiasi gani, je kama Kuna jamaa anaendesha biashara hiyo Kwa kumnyandua mkeo utajuaje?

Kuna mpuuzi Kama wewe huku mtaani ndoa yake imeingia mdudu. Mke alipewa mtaji wa nguo akawa anafuata mzigo Dar na kuja kuuza. Mwaka mmoja tu ulitosha kupata njemba wa kumuongezea mtaji na jamaa kuja kustuka it's too late.
 
mkuu natoka home saa 10 usiku,narudi saa 1 jioni,sasa hip muda wa kuwa karibu ni ngumu mkuu.
 
Kama umeambiwa umefeli, kuna mwenzako huko kaambiwa kafaulu! Kwa hiyo na wwe usikubali, rudia mtihani wake hadi upass!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…