Mke wangu kasema nafeli; je, nafeli wapi?

Aliekuambia unafeli ni mkeo halafu unakuja kuuliza huku...muulize mkeo akuambie....kweli umekamatwa na huyo mkeo.
Vijana wa kataa ndoa wanazidi kupata maksi.
 
Umefeli kwenye usimamizi
 
Kwanza nikupe moyo karibu wanawake wote wako hivyo hasa inapokuwa biashara ya familia....ni moja kwa Mia kwa baadhi wanaojitambua...ni viumbe vina akili sana ila tatizo Lao kubwa ni rahisi kuwa rubuni wakapoteza lengo...inatakiwa helima na akili kubwa kuwa rudisha kwenye mstari
 
hawaoni kesho mkuu
 

Yupo sahihi, unafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…