Mke wangu katoka clinic na raha isiyo na mfano!

Mke wangu katoka clinic na raha isiyo na mfano!

Hi ni kutokana na cad ya clinic majibu kuwa negative kwenye upande wa vipimo nadhani tunaelewana. wazee huwa tunapakimbilia sana hapo tuuh

Usiku mwema wakuu
Iyo clinic ya usiku wa manane mmmh
 
Sababu ya hizo furaha ni kwamba ameshacheza rafu sana na haamini macho yake kwa majibu hayo au akuamini kabisa kutokana na mienendo yako
 
Back
Top Bottom