Mke wangu katoka clinic na raha isiyo na mfano!

Sababu ya hizo furaha ni kwamba ameshacheza rafu sana na haamini macho yake kwa majibu hayo au akuamini kabisa kutokana na mienendo yako
Abadilike sasa,shida uwa inatugharimu hapa baada ya matokeo km haya tunairudia michepuko yetu kwa kudhani nayo ipo salama halafu tunakosea tunatoa ronja(siri)ya bibi mkubwa kupima na kukutwa neg.michepuko nayo inaiambia michepuko yake,hapo ndo balaa make mlolongo wa michepuko ni noma means limoja likiharibu muathirika wa mwisho ni mpendwa mke,tuwe makini ukimwi unatishaa

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Nimekusikia mkuu
 
Unaweza kukuta we unao yeye hana ndio maana inasisitizwa muende wote kupima. Mwambie aweke akiba ya furaha
 
Hi ni kutokana na kadi ya clinic majibu kuwa negative kwenye upande wa vipimo (nadhani tunaelewana). Wazee huwa tunapakimbilia sana hapo.

Usiku mwema wakuu
Kwamba hakutaka kuzaa na wewe siyo? Huyo atakuwa na wake wa moyoni zaidi yako, ukiendelea kuishi naye atakuja kukuumiza live live
 
Hi ni kutokana na kadi ya clinic majibu kuwa negative kwenye upande wa vipimo (nadhani tunaelewana). Wazee huwa tunapakimbilia sana hapo.

Usiku mwema wakuu
Yani wabongo bwana!!!! sasa mtu kama wewe sijui ni wa aina gani na una umri gani
 
Back
Top Bottom