hehehehehehe, utata ndiyo hapo! Nikirudi tu yeye huwa wakwanza kunipokea na kuchukua makabrasha katika gari! Nadhani huwa anachungulia kama nimevitoa!viatu vitazuiaje wewe kuwapa watu lift?
Wewe viache tu humo kwenye gari..ila watakaopanda watajua kuwa kiti kina mwenyewe ...
kazi unayo,sasa watu wengine wakipanda hiyo gari wanakaakaa vp si vinawasumbua?mkuu ulimtoa rombo nini mkeo?Mke wangu naona ana wivu! Hivi karibuni ameweka pair moja ya mchuchumio wake matata sana ndani ya gari langu kwenye kiti cha mbele sehemu ya kuwekea miguu. (Muhimu: yeye pia ana gari lake lakini hajaweka kwake!!!)
Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....
Habari ndiyo hiyo wakuu, nifanyeje? Nivitoe kwa nguvu? Je, anadhani mimi waga nawapa lifti wadada?
Mke wangu naona ana wivu! Hivi karibuni ameweka pair moja ya mchuchumio wake matata sana ndani ya gari langu kwenye kiti cha mbele sehemu ya kuwekea miguu. (Muhimu: yeye pia ana gari lake lakini hajaweka kwake!!!)
Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....
Habari ndiyo hiyo wakuu, nifanyeje? Nivitoe kwa nguvu? Je, anadhani mimi waga nawapa lifti wadada?
viatu vitazuiaje wewe kuwapa watu lift?
Wewe viache tu humo kwenye gari..ila watakaopanda watajua kuwa kiti kina mwenyewe ...
WOS, mi namshauri avichunguze vizuri hivyo viatu, anaweza akawa amevifungia ka-camera. ha ha haaaaaa! mapenzi haya bwana!
Ndugu yangu.... ukiona mtu anafikia hatua ya kuacha animus revetendi kwenye gari ujue ana matatizo maana binadamu huwezi kumchunga...
Ndugu yangu.... ukiona mtu anafikia hatua ya kuacha animus revetendi kwenye gari ujue ana matatizo maana binadamu huwezi kumchunga...
Nilipomuuliza mbona unaweka hapa imekuwaje? Akanijibu kwa upole sana...'mume wangu nakupenda sana, na kama unanipenda pia basi naomba hivi viatu vyangu usivitoe hapa'.....
Je, ni wivu unamsumbua?