Mke wangu kaweka viatu vyake katika gari langu kiti cha mbele!


wakati mwingine mwenzi wako anaweza akakupa sababu ya kutomwamini.........
 

ukivitoa kwa nguvu una lako jambo wewe??viache mbona wapewa lifti wataenena tu na wala havitawabana,upo hapo?mwanamke chake babu ata kwa kujiridhisha tu
 
Hahaha.. nawe muwekee vyako kwenye kibebeo chake umwambie ze sem alivyokuambia wakati anaweka kwenye kibebeo chako ikibidi ongezea na tai kabisa....😀

ha ha haaaaaaaaaaaTIT for TAT
 

Mkuu, hapo ndo huwa sikuelewagi kabisa,
Why do you think "making once teritory for the purpose of establishing boundaries and preeminance" is primitive? yes it is animalistic, are we not animals?
Again, why do you say that, it is because of turfs? I mean, do you real give a little bit of thinking to what you believe?

It is not the matter of trust, it is the matter of establishing territory, whther you consider it primitive or morden/western, men will continue to do so in various ways.

You would hear one saying Nyumbani kwangu utaratibu ni huu na huu~. a woman will say, My hubby have nothing to do with the h/girl, I am her boss.........these are all ways of marking a territory.

cheers!
 
mi naona viache tu, tena ndio unakuwa na deal zaidi 'wakiviona'.
lakini kama unahisi vinakuwekea kauzibe uwe unaviweka kwenye buti ya gari ukikaribia kuonana na mkeo/home unavirudisha mahala pake - simpo!
 
.....tena unapaswa kukipiga kiwi kila siku kiwe kama kipya....
 
angenifanyia hivyo mimi enzi zangu angekuta siku nimeshahonga mwingine siku nyiiingi
 
Jamani mbna amekupa jibu zuri hivyo "anakupenda sana", basi nawe mridhishe viache viatu alipoweka tena unaweza kumnunulia vizuri zaidi aweke hapo
 
Kweli abiria chunga mzigo wako, unanikumbusha kisa kimoja. Jamaa alikuwa anashare na mkewe gari sasa siku moja mama akawa amenunua viatu na nguo kwa ajili ya kwenda kwenye sherehe akaviweka seat ya nyuma. Baadaye mume akawa anatumia lile gari akaenda mpitia mkewe akiwa kwenye gari anasumbiri mkewe katika kukagua gari seat ya nyuma akakuta ule mfuko wenye nguo na viatu jamaa bila kufikiria akautupa kwenye dust bin kuogopa soo (Nafikiri alikuwa na tabia ya kupakiza vimada) . Kufika nyumbani mama anaulizia mizigo jamaa alikataa katakata kuona ule mfuko. Sasa na wewe una wasi wasi gani yeye kuacha viatu kwenye gari
 


sijui jamaa aliijibu vipi hiyo kesi.
Asalamua aleku walahi
 

Kwa kuwa umesema na yeye ana gari lake, nawe chukua pea moja ya viatu vyako weka kwenye siti ya abiria ya mbele kwenye gari lake!
 
Kwa kuwa umesema na yeye ana gari lake, nawe chukua pea moja ya viatu vyako weka kwenye siti ya abiria ya mbele kwenye gari lake!

Au atundike koti la suit na tai ule upande wa abiri...
 

Ndio shida ya kuwa mwizi, yaani muda wote huna amani! Unahisi kila kitu ni ushahidi tu! Dah! Hiyo kali! Hayo mambo ya kushea gari kuna mwanamke aliamka asubuhi akakuta hereni moja tena zile kubwa za duara kwenye siti ya dereva,halafu siyo ya kwake! Na jana yake usiku mumwe ndiye aliyekuwa anatumia gari!
 

Hii mbona ilikuwa sooo Jeni sipati picha huu ugomvi uliishia wapi
 
Usijali.,ukitoa lift wapakize seat ya nyuma ambako hakuna viatu
 
mi naona viache tu, tena ndio unakuwa na deal zaidi 'wakiviona'.
lakini kama unahisi vinakuwekea kauzibe uwe unaviweka kwenye buti ya gari ukikaribia kuonana na mkeo/home unavirudisha mahala pake - simpo!

je akikutana na mkewe njiani gafla na lazima amchukue atamweleza viatu viko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…