Mke wangu kila tunapofanya tendo la ndoa husikia maumivu

wete

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
87
Reaction score
60
JF Doctor ili tatizo linajitokeza mara kwa mara kwa huyu mwanamke niliye nae kikubwa zaid nna malengo nae!, kila tunapofanya kile kitendo yeye hujiskia maumivu tena ya hali ya juu inafikia hadi damu zinatoka.

Baadae baada ya tendo mara ya kwanza nilikua simuamini sababu namtayarisha vya kutosha hadi uke unalainika lakini me zaidi naogopa hayo maumivu anayoyapata hadi nimeamua kulifikisha hapa
 
Mdikilize vzr madai yke,, wew ni mtu mzima anashindwa kukuambia ,, kuna kitu anapenda alizoea kabla kutumia kabla yko anashindwa kukuambia jaribu kuongeza utundu uwanjani maumivu yataisha tu.
 
Maumbile yako ya kiume yawezekana kuwa abnormal muone daktari
Hili tatizo anadai kuwa analo muda sasa toka kwa ma x zake ilikuaga ivo ivo na ameshafanya vipimo vyote bila majibu yakuridhisha
 
Inategemea ameenda hospital gani na wamepima nini, but kwa jinsi ulivyoelezea tatizo, ni lazima ana maambukizi/fungus kwenye sehemu za siri, mimi mwenyewe nishawahi kupata hilo tatizo...Jaribu kwenda hospital kubwa kama Regency ukawaone mabingwa wa magonjwa ya wanawake, mkeo atapona.
 
unatumia kondomu? kama unatumia acha kuna wanawake wengine zinawadhuru
 
Inawezekana mwanamke wako ana tatizo linaitwa vaginismus. Hili sometimes lipo kisaikolojia zaidi, unaweza kuta sexual experience yake ya kwanza alipata maumivu makali sana au alikua abused sexually wakati mdogo,hofu ya ukimwi hata kama mmepima labda alipoteza ndugu wa karibu kwa gonjwa hilo. Mind yake inakua inahusisha ngono na maumivu japo unawe muandaa vizuri lakini ukitaka kuchomeka tu mashine mwili unafunga, k inakauka, ina sinyaa nk. Jaribisha wakati foreplay japo hata kidole kimoja, viwili kama vinapita (hakikisha umekata kucha lakini) uone reaction yake vajay inatosha.

Unaweza mshauri atumie tampoons badala ya pedi anapokua period, ipo kama dushe anakua anaichomeka na inafanya kazi kama pedi tu, hii itasaidia kustresch vajay yake kidogo kidogo. Pia anaweza nunua dildo sazi ya dushe awe anajaribu kulitumia kama sehemu ya zoezi tu la kustresch vajay. Hii itampa uhuru kidogo coz anakua ana control ya pace,force na rhythm ya hicho kitu so anakua hana Ile hofu ya kupata maumivu, dildo ikipita hata mashine yako itapita tu.

Ikishindikana kabisa mpeleke hospitali akaonane na wataalam wa magonjwa ya uzazi, na wewe uchekiwe pia kama uko sawa au ni abnormal.

Mwanamke akikwambia anaumia usilazimishe mpaka ukojoe au mpaka dushe lizame ndani.
 
Shukran sana Mkuu kwa ushauri nimekuelewa vizuri naomba nilifanyie kazi alafu nitaleta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom