Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Imagine. Yani wanaume wengine jamani[emoji849]Khaaa eti umalaya nitafanya mbali na uso wako. Nilipofika hapo miguu imeishiwa nguvu [emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine. Yani wanaume wengine jamani[emoji849]Khaaa eti umalaya nitafanya mbali na uso wako. Nilipofika hapo miguu imeishiwa nguvu [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi ngumu hiiImagine. Yani wanaume wengine jamani[emoji849]
Hongera mkuuLeo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene nilipokutongoza ukanikubalia thax mama be blessed my dear.
Nikapata kazi baada ya chuo tukawa pamoja ingawa mwaka mmoja baada ya kazi nilianza kunawiri mabinti wa pale kazini wakaanza kunitolea macho lkn niliahidi nitakuoa na sikutak kuvunja ahadi yangu kwako japo.
Nikatimuliwa kazi binti wa watu hukuniacha ukanifariji kwa maneno mazito na matamu ukanipa moyo wa kupambana ukasema unaona kitu ndani yangu nakumbuk ulivokua unaniombea wakati kibarua kimeota nyasi barikiwa saana wew binti hakika apatae mke Bora apata kitu chema.
Maisha yakasonga nikawa nasimamia mradi wa mjomba angu mradi ukachanua mjomba akaingiwa na wivu akaanza visa nikataka kumwibia nikaanzishe changu binti wa watu ukanituliza nakumbuka ulinambia acha baraka za kipepo zipite tafuta chako. Nikatoka kwa mjomba mambo yakawa magumu zaidi binti ukanambia giza likizidi alfajiri inakaribia love you so much.
Mambo yakawa magumu zaidi Lakini hukuchoka ulinipa moyo nakumbuk kila biashara tulikua tunafanya ikawa inakufa kila biashara niliotia mkono wangu ilikufa milango yoote ya riziki ilifunga na urembo wako hukudiriki kunisaliti wakati wote ulinambia you will rise again. What a women.
Nakumbuk ilinipiga homa ya miezi 3 mfululizo kila nikipima hamna chochote mke wangu hukunikimbia pamoja na hayo yoote baada ya kupita homa ndio milango ya riziki ikaanza kufunguka mmoja baada ya mwingine thax kwa uvumilivu wako.
Pamoja na kua Mimi ni mwanaume Nina tamaa za kimwili lakini nimechagua tamaa zangu ziwe na limit, nitakueshimu wakat wote, umalaya nikafanya mbali na uso wako na hakuna mwanamke Bora kwangu zaid yako.
Love you again
Hizi siridi za kusifia ndoa hizi zisiwahadae kwa hesabu ya chap chap hii ni nyuzi ya 4 kusifia ndoa kati ya nyzi malaki za kuiogofya na kuipondea kwa maswahibu.
Haya hongera ndgu, wapo ila wachache.