Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

genau

Member
Joined
Jan 11, 2018
Posts
36
Reaction score
54
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza.

Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?

1619203825518.png
pia soma:
 
Umemsevu jina huyo mgegedwa? Jibu lako litaniongoza nikushauri vipi.
 
Nilishaga mkalisha chini mke wangu na namshukuru Mungu alinielewa
"Ukitaka ndoa yetu iwe na amani vicheko na upendo usisome msg za simu yangu"
Baada ya hapo nilimpa password ya simu yangu muda wowote akitaka kuitumia kumpigia mtu anapiga

Akitaka kutumia kama tochi kumulikia kitu anatuitumia

Akitaka kuangalia vichekesho vya whasssp na madoido ya hapa na pale kama gemu nakadhalika anatumia

Lakini kusoma msg zangu alishaga acha na sikudanganyi nipo huru kuiacha simu yangu sebuleni na nikaingia kulala full amani

Nakuomba rekebisha tabia kwa mkeo mfurahie maisha
KARIBU
 
Vipi kama ungemkuta wewe kwenye simu yake ungetamani kufanyiwa vipi..!
 
We unatutia aibu

Hivi unakamatajwe kwenye simu ? Umeshindwa hata kuwa na laini mbili moja yenye mchepuko unaizima ukifika home

Kosa la pili ukimaliza kusoma text futa we ulizifuga za nini
 
We unatutia aibu

Hivi unakamatajwe kwenye simu ? Umeshindwa hata kuwa na laini mbili moja yenye mchepuko unaizima ukifika home

Kosa LA pili ukimaliza kusoma text futa we ulizifuga za nini
Kukamatwa kukamatwa tu acha weee
 
Nilishaga mkalisha chini mke wangu na namshukuru Mungu alinielewa
"Ukitaka ndoa yetu iwe na amani vicheko na upendo usisome msg za simu yangu"
Baada ya hapo nilimpa password ya simu yangu muda wowote akitaka kuitumia kumpigia mtu anapiga

Akitaka kutumia kama tochi kumulikia kitu anatuitumia

Akitaka kuangalia vichekesho vya whasssp na madoido ya hapa na pale kama gemu nakadhalika anatumia
Lakini kusoma msg zangu alishaga acha na sikudanganyi nipo huru kuiacha simu yangu sebuleni na nikaingia kulala full amani
Nakuomba rekebisha tabia kwa mkeo mfurahie maisha
KARIBU
Mkuu mpe haki sawa, assume wewe ndio akupe masharti ya namna iyo. Au ndio baba kichwa cha familia ?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kwahiyo akiingia huko WhatsApp hawezi kuona post za michepuko yako au SMS SMS pekee ndizo mbaya
Nilishaga mkalisha chini mke wangu na namshukuru Mungu alinielewa
"Ukitaka ndoa yetu iwe na amani vicheko na upendo usisome msg za simu yangu"
Baada ya hapo nilimpa password ya simu yangu muda wowote akitaka kuitumia kumpigia mtu anapiga

Akitaka kutumia kama tochi kumulikia kitu anatuitumia

Akitaka kuangalia vichekesho vya whasssp na madoido ya hapa na pale kama gemu nakadhalika anatumia
Lakini kusoma msg zangu alishaga acha na sikudanganyi nipo huru kuiacha simu yangu sebuleni na nikaingia kulala full amani
Nakuomba rekebisha tabia kwa mkeo mfurahie maisha
KARIBU
 
Mkuu mpe haki sawa, assume wewe ndio akupe masharti ya namna iyo. Au ndio baba kichwa cha familia ?
Dereva wa gari ni mmoja tu hayo ya haki sawa ndo yanayoleta shida kwenye nyumba
Ona sasa kijana anavyohaha [emoji23][emoji23]
 
Nilishaga mkalisha chini mke wangu na namshukuru Mungu alinielewa
"Ukitaka ndoa yetu iwe na amani vicheko na upendo usisome msg za simu yangu"
Baada ya hapo nilimpa password ya simu yangu muda wowote akitaka kuitumia kumpigia mtu anapiga

Akitaka kutumia kama tochi kumulikia kitu anatuitumia

Akitaka kuangalia vichekesho vya whasssp na madoido ya hapa na pale kama gemu nakadhalika anatumia
Lakini kusoma msg zangu alishaga acha na sikudanganyi nipo huru kuiacha simu yangu sebuleni na nikaingia kulala full amani
Nakuomba rekebisha tabia kwa mkeo mfurahie maisha
KARIBU
Atakaribia kupata kiwanja peponi....
 
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza

Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
Utuletee mrejesho..
 
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza

Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
Mpleke shoping dubai, then nenda hadi caribbean mkabaridhi yote hayo yataisha
 
Back
Top Bottom