Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

Mke wangu kukuta meseji ya mchepuko nifanye nini kumtuliza?

Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza

Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
Ndoa ina umri gani?watu washakutwa 'red handed' kitandani lakini wakakana,we msg tu unambwela?hapo ndio ndoa inakomaa,kaza tu.
 
Mkuu hizo messages ulikuwa unazitunza ulikuwa unataka kuwa na collections au museum
 
hapo Ni busara ya refa tu. VAR inaonesha red card no way mkuu
 
Kwanza kataa hujamgegeda usilogwe ukakubali kosa kubwa ni kukubali umekosea sema uyu ni X wangu tuliachana kabla sijakuowa kaachanana Mme wake ndyo akawa anakukumbusha mapenzi ya zamani anataka nimuowe usiongee kama unajitetea ongea kama unampa taarifa
 
Unapoamua ku cheat inabidi uwe comando mtalam, ukifanya tukio usiache ushahidi nyumaa... hujasikia wanasema ujumbe mfupi kwa simu unafutwa kwa sekunde tatuu... kuwa mpole, kubali kosa, omba msamaha... akikusamehe rudi vitani kwa umakini mkubwa
 
Pole sana baharia,, najua yataisha tu haya,ila baada ya kuisha nenda play store download app ya secret file,kwenye simu yako itaonekana kama calculator ukitaka kupiga hesabu unapiga ,ila ukiingiza namba za siri inafunguka huko uta save namba zako na sms zote zitapitia huko kwa namba ulizozisave huko,,
Pili usikili kosa hata akitangaza kuvunja ndoa narudia usikili kosa
 
vp kuhusu calls?
 
ASANTENI sana kwa ushauri mazuri sana niliopata. Nimekili kuwa huyu mwanamke ananitaka ila simtaki. Then nikafanya Usanii wa kutoa machozi kibaharia (kama movie za kiphilipino)
Wife alinionea huruma sana na akajuta kwanini amenionea kwenye kosa ambalo sikufanya.
Nilichojifunza ni kwamba sitakuja kurudia kosa kama hili kwa sababu linaua uaminifu sanaaaa.

Mabaharia wenzangu mmenipa tips nzuri sana ASANTENI tena
 
Mke wangu kakuta sms za mgegedo na mchepuko kwenye simu yangu. Hapa naona vita ya tatu ya dunia inaanza

Nipeni tips huwa mnafanyaje kusolve case kama hizi?
huyu ni mm kbs yaana hp nawaza nimuulize au nipuuzie
 
Wenye michepuko njooni huku mumsaidie mwenzenu...
 
Back
Top Bottom