Watu wachafu wengi wao wafanyakazi hawadumu kwa sababu ya uchafu wao maana kama ndugu yangu yeye anachojua kuchafua hata akikuta sehemu ni safi😬Mwambie kwa mara nyingine tena huku ukifanya wewe huo usafi kisha mtafutie dada wa kazi mzuri zaidi yake kama atakuwa na akili timamu ataanza kuwa makini na usafi na kukulinda wewe juu ya huyo binti wa kazi akihofia kupokonywa tonge mdomoni
Ulikaa kwenye uchumba kwa miaka mingapi? Au uliletwa tu na kuoa? Kabla ya kuoa lazima umchunguze mpenzi wako Tabia zake moja wapo ya usafi mwanamke mchafu ungemjua mapema kwakuwa ukutaka kujua mambo ya usafi ila ungetaka kujua jambo la usafi ungelijua mapemaHeri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja,hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakua safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiye jali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Ukichunguza sana utaona huyo alilelewa kwenye mazingira ya kuwa na mfanyakazi nyumbani na walikuwa hawafanyi lolote.Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Huyo sio mchafu tu hata uvivu atakuwa nao,na hisia zangu zinaniambia kuwa atakuwa kibonge...Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja,hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakua safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiye jali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Bora wakwako anajua kuoga,huyu wangu hata kuoga ni shida,wagogo acheni uchafu jamani mnatukeraHeri ya X-mass in advance

InterestingBora wakwako anajua kuoga,huyu wangu hata kuoga ni shida,wagogo acheni uchafu jamani mnatukera
Mkuu ndani nako ni shida vitu vinatupwa ovyo ovyo nguo zimetapakaa kila sehemu ya chumba na ana nguo nyingi hadi zingine havai kabisa kugawa kwa wahitaji nako hataki sasa si kuzidisha uchafu tuKama ndani ni msafi hakuna shida. Shida itaanza pale ukute na ndani ni balaa
Kipindi nipo nae tunaishi nyumba ya kupanga tena chumba kimoja hakunionesha hali yoyote ya uchafu. Kivumbi kimeanza baada ya sisi kujengaKabla hujamuoaa ulikuwa unaona ni mchafuu na wew unachukia uchafuu kilichofanya Umuoee ni nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulidhani sungura ukimfuga kwa muda mrefu anaweza kuwa tembo ausiooo.. Hayaa pambanaa sasa