Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Majanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu🙏
 
Hawa wanawake wanaovaa mawigi, kusuka nywele ndefu, kubandika kucha na makeup ni wachafu balaa ila ukikutana nao mjini walivyo jiremba kama midoli na kope zao ndefu unaweza kutamani upate mke kama yeye ila ishi nae siku mbili unaweza kumsusia nyumba kwa uchafu, huwa wanajali muonekano wa nje tu
 
Mwambie kwa mara nyingine tena huku ukifanya wewe huo usafi kisha mtafutie dada wa kazi mzuri zaidi yake kama atakuwa na akili timamu ataanza kuwa makini na usafi na kukulinda wewe juu ya huyo binti wa kazi akihofia kupokonywa tonge mdomoni
Watu wachafu wengi wao wafanyakazi hawadumu kwa sababu ya uchafu wao maana kama ndugu yangu yeye anachojua kuchafua hata akikuta sehemu ni safi😬
 
Boss wangu...

Vipi hakuheshim?

Anakuchukia??

Anakusaliti??

Vipi Ndugu, mkeo hakupikii Wala kukufulia??

Vipi hawajali Ndugu zako au wanao??

Vipi Hana Hata akili ya kukushauri Maisha ??

Yaan Kila Mahali amepunguwa??.

Embu tujifunze kuwabeba watu na madhaifu Yao ili hali Kuna Mahali wanatufaa na ni Bora sana !!.

kama unataka mwanamke Bora alokamilika, una option mbili tu
1-Umba wa kwako

2-Tengeneza mazingira kwanza ya mwanamke kuja kuishi kama malikiaa ,alafu ndio uoe.
 
Heri ya X-mass in advance

Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.

Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.

Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.

Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja,hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.

Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakua safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.

Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiye jali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.

Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.

Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Ulikaa kwenye uchumba kwa miaka mingapi? Au uliletwa tu na kuoa? Kabla ya kuoa lazima umchunguze mpenzi wako Tabia zake moja wapo ya usafi mwanamke mchafu ungemjua mapema kwakuwa ukutaka kujua mambo ya usafi ila ungetaka kujua jambo la usafi ungelijua mapema

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.

Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Ukichunguza sana utaona huyo alilelewa kwenye mazingira ya kuwa na mfanyakazi nyumbani na walikuwa hawafanyi lolote.

Tabia hii imeharibu watoto wengi nyumbani na kuwafanya kutokuwa na muelekeo kabisa pale wanapoolewa au kuishi kwenye nyumba zao wenyewe. Kwa vile hii tabia ya kutowajibishwa kwa kufanya kazi nyumbani inamfanya aone ni sawa tu na wala hakumbuki kwamba kwa sasa ni yeye ndiyo anatakiwa kuwajibika. Inahitaji nguvu za ziada kubadilika kwa hiari yake mwenyewe.

Jamani tujitahidi kuwapangia zamu za kufanya kazi watoto ili kuwafundisha nidhamu ya usafi na mambo mengine ya kuwajibika kwenye nyumba.
 
Hao ni wale wanawake wanaojiita wasomi akili zao na maarifa yao hukomea hapo kwenye kuvaa na kujipodoa na si shughuli za nyumbani, maisha bila ya dada wa kaz inakua dhahama
 
Fanya hizo kaz mwenyew, usipende uchafukwe roho kwa vitu unavyoweza kufanya mwenyew.. baada ya muda ataona aibu atabadilika tu
 
Heri ya X-mass in advance

Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekua mbaya.

Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.

Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.

Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja,hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.

Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakua safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.

Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiye jali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.

Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.

Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huyo sio mchafu tu hata uvivu atakuwa nao,na hisia zangu zinaniambia kuwa atakuwa kibonge...
 
Bora wakwako anajua kuoga,huyu wangu hata kuoga ni shida,wagogo acheni uchafu jamani mnatukera
 
Kabla hujamuoaa ulikuwa unaona ni mchafuu na wew unachukia uchafuu kilichofanya Umuoee ni nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulidhani sungura ukimfuga kwa muda mrefu anaweza kuwa tembo ausiooo.. Hayaa pambanaa sasa
 
Kama ndani ni msafi hakuna shida. Shida itaanza pale ukute na ndani ni balaa
Mkuu ndani nako ni shida vitu vinatupwa ovyo ovyo nguo zimetapakaa kila sehemu ya chumba na ana nguo nyingi hadi zingine havai kabisa kugawa kwa wahitaji nako hataki sasa si kuzidisha uchafu tu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kama una uwezo tafuta msaidizi wa kazi...
 
Vipi machine yake iko safi? Kama ndio vunilia tu mengine. Mwanamke mbunye
 
Unayumba mwanetu
Unachokaje ulichokipenda.
Haya Mambo ilibidi umalizane nae even kijeshi..... Umeyumba mwanetu
 
Kabla hujamuoaa ulikuwa unaona ni mchafuu na wew unachukia uchafuu kilichofanya Umuoee ni nini??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ulidhani sungura ukimfuga kwa muda mrefu anaweza kuwa tembo ausiooo.. Hayaa pambanaa sasa
Kipindi nipo nae tunaishi nyumba ya kupanga tena chumba kimoja hakunionesha hali yoyote ya uchafu. Kivumbi kimeanza baada ya sisi kujenga

Back
Top Bottom