Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Mkuu hilo livumilie tu wengi tunao wana upungufu tofauti tofauti bora huo, wanawake wana udhaifu wa kila aina ila na kuahauri hilo kausha tu una jinsi, huwezi kutoa talaka kisa uchafu,.
MSingi wa talaka ni mmoja tu UZINZI otherwise hakuna namna..
 
dalili za mtu mvivu na mchafu ambazo wengi huwa tunapuuzia
Mwanafunzi akitoka shule anakaa na nguo za shule mpaka mda wa kulala ndo anazivua
Mfanyakazi akitoka kazini anaweza shinda na nguo za kazi atafanya shuguli zote mpaka akiwa anaenda kuoga ama kulala
 
Usafi ni hulka ,hata uchukie vipi na useme vipi hatabadilika. Endelea kuvumilia au piga chini
sio hulka dada ni malezi ukimfundisha mtoto usafi usidhani ukubwani ataacha,ila kuna makabila ni wachafu kiasili kuna wazanzibari na kabila moja la huko uganda
 
uvivu ndo unaleta yote haya,uvivu epuka nwanamke mvivu,yee kazi yake ni whatsap na kubonyeza simu
 
Bora umeleta ushahidi. Ni tatizo na watu wengi hawajui ni tatizo. Maana kukiwa na uchafu kidogo au mambo hayajapangiliwa ni kama akili inaacha kufanya kazi.
 
Hiyo ni changamoto kubwa sana nakupa pole mno.. Ila kwa uzoefu wangu na kuchokonoa vitu niligundua hii tabia ni pepo! Pepo la uchafu.. Yani ni tabu tupu na mwenye nalo haoni shida yoyote
Kwaiyo suluhisho ni Nini mkuu mlozi
 
Binafsi Mimi. Ucahafu nachukia Sana nipo tiyari kutoa talakka
Hata mtu mzinzi lazima atakuwa mchafu tu so Kama alivyosema mlozi Mshana Jr Hilo ni pepo so mpeleke mke wako wamafangie maombezi kwa watu wa kiroho.
 
Mkuu usimfukuze mke wako , uchafu Mimi kwa ufahamu wangu ni Asili ya Mtu na huwezi kumbadilisha .

Happy mtengee chumba chake umuwekee mkeka tu
 
Hata ukimletea msaidizi wa kazi sawa na hakuna,maana binti atakuwa anatizama nyendo za mama mjengo, halafu mama mjengo hawezi msimamia binti ktk usafi,
 
Nyumba ni kubwa kuisafisha
Hapana ni ya kawaida na ni simple tu kuifanyia usafi ila kila akija hapa sijawahi kuona anashika fagio kufagia uwanja wala kudeki ndani mi ndo huwa napiga kelele kila siku basi mdogo wake na binti yangu kwa kijivuta ndo wanafanya usafi tena sio katika ile standard inayotakiwa, yani sometimes hadi naona hakuna maana ya yeye kuja hapa home naona ni kuja kunikera tu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkeo mwwnyeji wa wapi, binafsi nimegundua kanda ya kati sitataja mkoa wnawake wanapenda kuvaa vizuri ila usafi 0
 
Achana nae tu

Maisha yenyewe mafupi.

Tafuta msafi
Acha ujinga na unywanywa na utondoti. Hayo ni mambo ya ndani. Hata tukijua itawasaidia nini zaidi ya kuanika siri zako nje. Hayo kawaambie mama yako na mama mkwe. Hata baba yako wala baba mkwe hawapaswi kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…