Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,841
huyo msafi anaweza akawa na tabia tofauti ukaona bora yule mchafuAchana nae tu
Maisha yenyewe mafupi.
Tafuta msafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo msafi anaweza akawa na tabia tofauti ukaona bora yule mchafuAchana nae tu
Maisha yenyewe mafupi.
Tafuta msafi
Mama ntilie mmoja huwa nilikuwa nikila kwake siku moja wakati naondoka akaniuliza swali hilo hilo na nikatoa jibu hilo hilo kama la jamaaa.kuna mfanyakazi mwenzangu jamani huyo kaka alikuwa msafi kuanzia unavomuona nje mpaka ndani kwake,siku moja nkamuuliza john itakuwaje siku ukioa mwanamke mchafu?alinambia ndoa itanishinda tu
Akimpata msafi anakuta malaya au mlevi ataacha ataona mwingine itakuwa kuoa kuachaAchana nae tu
Maisha yenyewe mafupi.
Tafuta msafi
Akimpata msafi anakuta malaya au mlevi ataacha ataona mwingine itakuwa kuoa kuacha
Aoe malaikaAnataka aliekamilika kila idara
So Sasa s atamuaribiaaa Yule bint ake nae amesema amekuwa Kama mam akeFanya wewe usafi kumfichia madhaifu yake au weka mfanyakazi wa ndani ila dau liwe zuri we mwenyewe si umeona hizo kero.
Yaani kuna miji ukienda hadi unajiuliza huu mji una mwanamke kweli!!
Mkuu uchafu ni hulka, unaweza piga kelele weeh na wala kusiwe na mabadiliko.
Huo ni mzigo wako tayari, ukiona pachafu fanya tu usafi.
Ila kuishi na mtu mchafu yataka moyo walah!!!
Bora yako kama anakumbuka kuoga na kujiremba. Kungwi nina kesi ya mke ananuka papuchi kama ng'onda.Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Mkuu mbona umeniuliza mimi kama ndio mtoa mada?Vipi kuhusu yeye mwenyewe ni msafi wa mwili na mavazi?. Anafua nguo zake na zako kwa wakati na kuzihifadhi vizuri?.
Ikawajee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ilaa hizi ndoaa jama khaaa!!Nami mke wangu n mchafu na mvivu sana
Akiamka hatandiki kitanda Wala kukunja neti, haoshi vyombo Wala kufagia. Yeye akishaamka n kuoga na kuperuzi mtandaoni basi.
Mdogo angu wa kike ndo anafanya usafi na kupika chai. Akanunue vitafunwa, yeye kakaa kwenye kochi tu.
Mwenzio kuepuka kupata msongo. nimeamua kujifulia nguo zangu, kufua mashuka na neti.
Kufagia uwanja jioni kwani asbh naenda Job.
Wala sina ugomvi nae kabisa sasa. Akija mama ake ama wageni wa kukaa siku mbili tatu ndo ataamka asbh kufanya kazi.
Siku aliyekuwepo mama angu na mama ake nikatoa mashuka na nguo zangu kwenda kufua, akaniomba niziache atafua yeye. Nikamwambia mbele ya wazazi ntafua mwenyewe Kama navyofanyaga, lini yeye akanifulia?