Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

HiHii hatari kuna mbwa wachafu sana, Sasa waone wakiwa Kwa barabara utadhani ni vinara wa usafi.
 
Majanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss wangu...

Vipi hakuheshim?

Anakuchukia??

Anakusaliti??

Vipi Ndugu, mkeo hakupikii Wala kukufulia??


Vipi hawajali Ndugu zako au wanao??

Vipi Hana Hata akili ya kukushauri Maisha ??

Yaan Kila Mahali amepunguwa??.


Embu tujifunze kuwabeba watu na madhaifu Yao ili hali Kuna Mahali wanatufaa na ni Bora sana !!.

kama unataka mwanamke Bora alokamilika, una option mbili tu
1-Umba wa kwako

2-Tengeneza mazingira kwanza ya mwanamke kuja kuishi kama malikiaa ,alafu ndio uoe.
Mmhm.. mwanamke mchafu anakwaza mnoo. Hata hamu ya kua nae karibu inakosa
 
Acha ujinga na unywanywa na utondoti. Hayo ni mambo ya ndani. Hata tukijua itawasaidia nini zaidi ya kuanika siri zako nje. Hayo kawaambie mama yako na mama mkwe. Hata baba yako wala baba mkwe hawapaswi kujua.
Usitufokee sasa[emoji1733]
 
Tatizo ni lako, sio la mke wako. Kama ujiwa mwenyewe unaweza kufagia ndani na nje, kutandika kitanda, kufua nguo, kuosha vyombo n.k. kwa nini uache kwa sababu mke wako yupo? Ukiona yanakushinda ajiri mtu wa kufanya kazi hizo siku zote. Inaelekea mke wako ameajiriwa lakini unataka afanye yote hayo, aende kibaruani na akirudi akupikie vile vile! Vyote hivi unaona ni wajibu wake kama mwanamke maana sijakusikia ukilalamika kuwa mtoto wako wa kiume nae hafanyi usafi! Inabidi ubadilike.

Amandla...
Puuua
 
Nafarijika navoona na wake wa wenzangu ni wachafu, nilidhani ni wakwangu tu! Niwambie tu mimi huwa nafanya usafi mwenyewe maana huyu mwanamke ameshindikana.
 
Kuwa na mfanyakazi uwe unamuelekeza

Ama
Lipa mtu aje fanya usafi
Mfano Mara 1 kwa wiki nje
Mara 3 kwa wiki ndani
 
Heri ya X-mass in advance

Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.

Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.

Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.

Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.

Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.

Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.

Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.

Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kabila gani au mgogo nini maana wagogo ni wachafu sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nafarijika navoona na wake wa wenzangu ni wachafu, nilidhani ni wakwangu tu! Niwambie tu mimi huwa nafanya usafi mwenyewe maana huyu mwanamke ameshindikana.
Afu unakuta kitandani anajifanya fundi ukisha maliza kummiminia mbegu anakufuta na kipande Cha kanga na yeye anajifuta alafu analala haendi kuoga

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru MUNGU katika oa oa yangu kati ya niliyewahi kumuoa alikuwa msafi mpaka tunaachana na huyu wapili pia vivyo hivyo .
Sema kila mwanamke na kasoro zake mi huyu mke wangu kwa kiburi ni hatari.
 
Back
Top Bottom