Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Hii ndo tabu ya kupenda Tako,Mkija Kwa ground mambo inakuwa ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Majanamke mengi yapo ivo,masafi physical appearance... Mazingira yanayomzunguka ni zero....uchi wake na kinyeo chake kutawaza vyema zero....jumlisha harufu ya fungus,pid na ped iliyochelewa kubadilishwa ndio doooh! Namchukia kweli mpangaji mwenzangu aliyemwaga ukoko wa ugali getin leo asubuhi.Ee Mwenyez Mungu nijaalie nijenge kibanda changu🙏
Kabila gani kama waha piga chini maana uchafu ni asili yao.....Heri ya X-mass in advance
Ebhana kuishi na mke ambaye hajali mazingira ya usafi wa nyumba ni kero mno. Mwanzo nakutana nae hali hii haikujionesha ila sasa tulipofunga ndoa na kujenga basi hali imekuwa mbaya.
Muda mwingi siishi pamoja na huyu mke kutokana na masuala yake ya kikazi, ila sasa kila anapokuja hapa home asee mazingira yanabadilika nyumba inakua chafu kupindukia.
Akiamka asubuhi anachojua yeye ni kuoga kuvaa na kuendelea na mambo mengine na si kushughulikia usafi wa nyumba nje na ndani. Ana mdogo wake nae ni wale wale, binti mchafu hatari nimeongea sana asee hadi nimechoka.
Hii tabia naona keshamrithisha hadi mwanetu wa kike nae ni ovyo hajui kufagia uwanja, hajui kuosha vyombo nguo zake ni kuziweka popote pale.
Nimeongea sana nimepiga kelele sana ila sioni dalili ya mtu kubadilika. Nikibaki peke yangu hapa home mazingira yanakuwa safi ila akija yeye tu ni balaa kama dampo.
Kwenye maisha yangu nachukia sana uchafu na kukaa na mtu mchafu asiyejali mazingira anayoishi kwa kweli inanipa tabu hadi naona bora niendelee kuishi peke yangu tu.
Mwanamke anajua kuoga, kujiremba kuvaa nguo nzuri ila mazingira anayoishi ni kinyaa kabisa.
Wakuu mnadeal vipi na wake na wanafamilia wengine wachafu wachafu hasa uchafu wa mazingira ya nyumbani nje na ndani?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Cha kufanya ... Amka asubuhi fagia, Osha vyombo.. Deki.. Tandika kitanda.. Fua nguo zao wote.. Zipange vzr.
Fanya hivi kwa muda wa Wiki mbili. Kama ana akili timamu atajirekebisha kama ni chizi ataendelea na hapo ni muda muafaka wa kumpa kadi ya Njano.. Huku ukijipanga kumpa RED CARD.
Huyo si mke wa kiafrica bali na mwanaume mwenzako...Nami mke wangu n mchafu na mvivu sana
Akiamka hatandiki kitanda Wala kukunja neti, haoshi vyombo Wala kufagia. Yeye akishaamka n kuoga na kuperuzi mtandaoni basi.
Mdogo angu wa kike ndo anafanya usafi na kupika chai. Akanunue vitafunwa, yeye kakaa kwenye kochi tu.
Mwenzio kuepuka kupata msongo. nimeamua kujifulia nguo zangu, kufua mashuka na neti.
Kufagia uwanja jioni kwani asbh naenda Job.
Wala sina ugomvi nae kabisa sasa. Akija mama ake ama wageni wa kukaa siku mbili tatu ndo ataamka asbh kufanya kazi.
Siku aliyekuwepo mama angu na mama ake nikatoa mashuka na nguo zangu kwenda kufua, akaniomba niziache atafua yeye. Nikamwambia mbele ya wazazi ntafua mwenyewe Kama navyofanyaga, lini yeye akanifulia?
[emoji2][emoji2][emoji2]umelenga pale pale ndo hilo kabila lake mkuu yani daaah ni shidaKabila gani kama waha piga chini maana uchafu ni asili yao.....
Muha[emoji2][emoji2][emoji2]umelenga pale pale ndo hilo kabila lake mkuu yani daaah ni shida
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Huo uchafu piga chini acha ilo kabila waoane wenyewe[emoji2][emoji2][emoji2]umelenga pale pale ndo hilo kabila lake mkuu yani daaah ni shida
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kipindi nipo nae tunaishi nyumba ya kupanga tena chumba kimoja hakunionesha hali yoyote ya uchafu. Kivumbi kimeanza baada ya sisi kujenga
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
viporo vimeozeana na uvundo wa samaki umetamalaki frijini au?Kuishi na mtu mchafu ni ngumu mimi niligombana na ndugu yangu kwa sababu ya uchafu huwa najiuliza Mumewe anaishi nae vipi yaani ni mchafu mno mno.Huyu ndugu yangu nikienda kwake hata maji ya kunywa sitaki unakuta mchafu hadi jikoni ukifungua Freji unaweza utapike.
Daah! pole aisee! ndoa zina mambo aiseeNami mke wangu n mchafu na mvivu sana
Akiamka hatandiki kitanda Wala kukunja neti, haoshi vyombo Wala kufagia. Yeye akishaamka n kuoga na kuperuzi mtandaoni basi.
Mdogo angu wa kike ndo anafanya usafi na kupika chai. Akanunue vitafunwa, yeye kakaa kwenye kochi tu.
Mwenzio kuepuka kupata msongo. nimeamua kujifulia nguo zangu, kufua mashuka na neti.
Kufagia uwanja jioni kwani asbh naenda Job.
Wala sina ugomvi nae kabisa sasa. Akija mama ake ama wageni wa kukaa siku mbili tatu ndo ataamka asbh kufanya kazi.
Siku aliyekuwepo mama angu na mama ake nikatoa mashuka na nguo zangu kwenda kufua, akaniomba niziache atafua yeye. Nikamwambia mbele ya wazazi ntafua mwenyewe Kama navyofanyaga, lini yeye akanifulia?
Ndio mkuu freji alisafishwi kwa wakativiporo vimeozeana na uvundo wa samaki umetamalaki frijini au?
Kwa Maelezo ya Mtoa Mada, Muda mwingi hakai na Mke wake kutokana na Kazi ya Mkewe. Hivyo huko anaishi Mwenyewe sasa huyo Mtoto wa KITANGA ataleta MTANGANYIKOMwambie ataft house girl wa kitanga tena mshika dini atamsaidia kuelewa mambo ya usafii. Wanapiga deki Hadi uvunguniii
Ndo ushauri wako huu my love?Achana nae tu
Maisha yenyewe mafupi.
Tafuta msafi
Timua huyo wala usiongee mara mbiliHeri ya X-mass in advance