Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Una mtazamo mchafu dhidi ya Moro ndiyo unaokuonesha uchafu. Badili kwanza mtazamo Kaka itasaidia sana, huenda hata huyo unayemwita mchafu ana yake yanayokuhusu “no one is perfect”.
Ni neno bay sana kwa mwanamke halafu mke kuitwa mchafu. Ni Sawa kabisa na mwanaume kuitwa nyuki wa mashineni.
Ni neno bay sana kwa mwanamke halafu mke kuitwa mchafu. Ni Sawa kabisa na mwanaume kuitwa nyuki wa mashineni.