Mke wangu mjamzito ninaomba ushauri wa kitabibu

Mke wangu mjamzito ninaomba ushauri wa kitabibu

Mr Kazembe

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
386
Reaction score
514
Habari wana jamvi mke wangu ni mjamzito ana mimba changa ila tumbo linamuuma sana nikienda hospital ya private akapata majibu haya kua asitumie dawa yoyote na arudi baada ya wiki mbili majibu yenyewe ni haya Sasa tumbo linamuuma sana sijui nifanyeje na hospital wamesema asitumie dawa yoyote.

PXL_20230727_173025106.NIGHT~2.jpg

PXL_20230727_173117085.NIGHT~2.jpg
 
Reported by.....


Unapoamua ku share sensitive document mtandaoni jitahidi kuficha baadhi ya taarifa ambazo ni rahisi ku reveal identity yako
 
Back
Top Bottom