Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Picha wanazotumiana umeziona lakini huna uhakika km anamuhasiano babaake..mpe talaka startus ndio hiyo imeshajionesha atatafunwa sana dingile mpk upwae

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni serious huna maamuzi hadi sasa...muache na achana na mambo ya ndoa sio fani yako endelea kulijia mibususu tu uishi.
 
Huyo mwanamke achana nae hafai. Usikute Kuna laan kwao ukiendelea kuwa nae hata watoto wako watatumiana picha za uchi na babun Yao. .

Tena anaweza mshauri mke awalawiti au kubaka watoto wako. Kimbia Tena usiangalie nyuma. .

Ukivumilia ukasema labda ataacha wanaweza hata kukulewesha baba mkwe akakufanyia mchezo mchafu. Kimbia sana. .
 
Vunja mji huo haraka, aisee kweli kila mtu na akili zake, vunja ndoa hiyo, mpe talaka, hizo picha zitunze zitakusaidia wakati wa kutoa talaka
 
Huyu Binti namjua yupo peke yake Kwa baba yake,niliwai wakopesha mmkopo Kwa kampuni Yao sikunwanachukia mkopo walkija wawili Mzee alimpiga mitinhuyo mwanae lodge moja pale kijitonyama aise nilishangaa sanaaa Mzee mrefu ana upara Kwa mbali alafu ana Mwili enzi hizo Mzee alikuwa nanofisi postal secretary ni mke wake
 
Yaani mpaka saa hizi hujamla mama yake?
Unatuangusha hapo
Hizo picha lazima nimgemtumia baba yake na so called wife
Kale mama wewe tena na picha kibao
 
Nakumbuka nilienda kufanya kazi mkoa x ,pale mtaani nkatokea kumpenda dada fulani.Kabla ht sijampakua mbususu kuna kuna mtu tena sio mmoja,akanionya kwamba yule dada kavunja ndoa ya mamake kwa maana anatembea na babake mzazi..Tenda taarifa zikaenda mbali zaidi kuna hadi mjomba wake yaani Kaka yake na mamake naye anatembea nae[emoji144][emoji144]..Kuna watu nimewavulia kofia[emoji119]
 
"kama unakasirika vitu vidogo, ukijua mengine si utakufa" hapo lazma uchukue uamuzi mgumu ni ngumu, inaumiza Ila Bora kuumia mara moja kuliko kua unaumia kila siku, mwishowe ujikute umeua. Fanya maamuzi maana ushaambiwa hayo unayoyaona makubwa ni madogo kwake, utakapoyaona makubwa itakuwaje
 
Pole mkuu, haijalishi ni C&P.

Mungu keshakufunulia kila kitu wazi na kakupa mlango wa kutokea halafu unajifanya huoni mlango.

Talaka inahusu.
 
Nyumba nilio Wai ishi kimara kulikuwa na skendo Bab kutembea na bint ake ,nilianza kuamini baada ya kujiridhisha

Hi ishu wazaz kula watoto wao imekuwa kubwa ndio maana haya mijitu haikai kwenye ndoa baba anashinikiza mtot arudi nyumbna ajitegemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…