Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Picha wanazotumiana umeziona lakini huna uhakika km anamuhasiano babaake..mpe talaka startus ndio hiyo imeshajionesha atatafunwa sana dingile mpk upwae

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Niko kwenye ndoa miaka 7 na mke wangu, kila kitu kilikua vizuri mpaka wiki mbili zilizopita, mke wangu aliniaga kuwa anaenda safari ya kikazi. Yeye anafanya kwenye kampuni ya Baba yake ambayo inahusika na ujenzi, Baba yake ni mhandisi.

simu nyumbani, nikamuuliza walirudi saa nngapi akaniambia kwenye saa kumi alfajiri kwani Baba yake alikunywa sana.
Kama ni serious huna maamuzi hadi sasa...muache na achana na mambo ya ndoa sio fani yako endelea kulijia mibususu tu uishi.
 
Huyo mwanamke achana nae hafai. Usikute Kuna laan kwao ukiendelea kuwa nae hata watoto wako watatumiana picha za uchi na babun Yao. .

Tena anaweza mshauri mke awalawiti au kubaka watoto wako. Kimbia Tena usiangalie nyuma. .

Ukivumilia ukasema labda ataacha wanaweza hata kukulewesha baba mkwe akakufanyia mchezo mchafu. Kimbia sana. .
 
Niko kwenye ndoa miaka 7 na mke wangu, kila kitu kilikua vizuri mpaka wiki mbili zilizopita, mke wangu aliniaga kuwa anaenda safari ya kikazi. Yeye anafanya kwenye kampuni ya Baba yake ambayo inahusika na ujenzi, Baba yake ni mhandisi.

Mara nyingi hua wansafiri pamoja na sina wasiwasi kwani nilikua naamini ni Baba yake hakuna shida. Lakini safari hii kuna kitu kilibadilika, mke wangu alikua hapokei simu, nilishikwa na wasiwasi nilitaka kumpigia Baba yake lakini nikaona haitakua poa.

Kwahiyo ni ikama nilipiga simu ikakata, kwamaana iliita sekunde moja tu. Nikakaa kimya kwani ilikua ni usiku kama saa nne hivi na nilitaka kujua tu kama wamefika au la. Niliendelea kumpigia simu mke wangu ila iliita tu bila kupokea.

Usiku kwenye saa nane hivi simu yangu iliita, kwakua nilikua bado sijalala vizuri kwani bado nilikua na mawazo kwanini mke wangu hapokei simu nikakuta ni Baba mkwe anapiga, ninapokea nikihisi labda ananiabia kitu, lakini alikua haongei, ghafla nikasikia sauri ya kama watu wamelewa wanaongea vitu havieleweki.

Baadaye nasikia sauti za miguno ya mapenzi, nilisikiliza kama dakika 5 hivi nikakata nikaona hayanihusu. Asubuhi mke wangu alinipigia na kuniambia alitoka na Baba yake na rafiki zake akasahaua simu nyumbani, nikamuuliza walirudi saa nngapi akaniambia kwenye saa kumi alfajiri kwani Baba yake alikunywa sana.

Nilipata shaka kwani usiku wake nilisikia vitu vya ajabu kama alikua na Baba yake inamaana ni yeye alikua anafanya mapenzi na Baba yake? Nilikaa kimya sikutaka hata kufikiria hicho kitu, lakini aliporudi nilihisi kama kuna mabadiliko, akawa hana furaha, yaani ni kama kuna kitu alikua anaficha.

Niliamua kuhack simu yake, kusema kweli natamani nisingefanya hivyo, nilikuta mke wangu wanatumiana picha za uchi na baba yake mzazi, uchi wa mnyama na nyingine ni kama video walichukua wakiwa kitandani uchi. Nilitaka kukaa kimya ila nilishindwa kuvumilia.

Nikaamua kumuuliza mke wangu kwanini wanatumiana picha za namna ile, nikidhani kama atashtuka aliniambia nisamehe tulilewa ndiyo tukajikuta tuko hivi ni Baba alipiga na simu yangu akaniamia nimntumie, hata hakuna kitu.

Anaongea kama vile ni kitu cha kawaida, nilimuuliza kama ana mahusiano na Baba yake akakataa katakata, utakufa na ushamba wako kwani kuna nini Baba kuniona hivyo wakati nikiwa mdogo alikua ananiogesha.

Nikilasirika na kutaka kumpiga tukaishia kusukumana akaondoka mpaka leo hajarudi, ananitumia meseji hawezi kuishi na mimi kwani nina hasira, kama unakasirika kwa vitu vidogo kama hivyo ukijua mengine si utakufa. Alinitumia meseji, ananiambia nimpe talaka yake hahitaji kuishi na mwanaume ambaye simuelewa.

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? Mke wangu nampenda, tuna watoto wawili, kila kitu kilikua vizuri. Natamani kumuacha lakijni sina uhakika kama wana mahusaino na Baba yake au la, vipi wanangu wataishije, nimekwama naomba suaidizi wako, kila nikiwaza nahisi kuchanganyikiwa.
Vunja mji huo haraka, aisee kweli kila mtu na akili zake, vunja ndoa hiyo, mpe talaka, hizo picha zitunze zitakusaidia wakati wa kutoa talaka
 
Huyu Binti namjua yupo peke yake Kwa baba yake,niliwai wakopesha mmkopo Kwa kampuni Yao sikunwanachukia mkopo walkija wawili Mzee alimpiga mitinhuyo mwanae lodge moja pale kijitonyama aise nilishangaa sanaaa Mzee mrefu ana upara Kwa mbali alafu ana Mwili enzi hizo Mzee alikuwa nanofisi postal secretary ni mke wake
 
Yaani mpaka saa hizi hujamla mama yake?
Unatuangusha hapo
Hizo picha lazima nimgemtumia baba yake na so called wife
Kale mama wewe tena na picha kibao
 
Nakumbuka nilienda kufanya kazi mkoa x ,pale mtaani nkatokea kumpenda dada fulani.Kabla ht sijampakua mbususu kuna kuna mtu tena sio mmoja,akanionya kwamba yule dada kavunja ndoa ya mamake kwa maana anatembea na babake mzazi..Tenda taarifa zikaenda mbali zaidi kuna hadi mjomba wake yaani Kaka yake na mamake naye anatembea nae[emoji144][emoji144]..Kuna watu nimewavulia kofia[emoji119]
 
"kama unakasirika vitu vidogo, ukijua mengine si utakufa" hapo lazma uchukue uamuzi mgumu ni ngumu, inaumiza Ila Bora kuumia mara moja kuliko kua unaumia kila siku, mwishowe ujikute umeua. Fanya maamuzi maana ushaambiwa hayo unayoyaona makubwa ni madogo kwake, utakapoyaona makubwa itakuwaje
 
Niko kwenye ndoa miaka 7 na mke wangu, kila kitu kilikua vizuri mpaka wiki mbili zilizopita, mke wangu aliniaga kuwa anaenda safari ya kikazi. Yeye anafanya kwenye kampuni ya Baba yake ambayo inahusika na ujenzi, Baba yake ni mhandisi.

Mara nyingi hua wansafiri pamoja na sina wasiwasi kwani nilikua naamini ni Baba yake hakuna shida. Lakini safari hii kuna kitu kilibadilika, mke wangu alikua hapokei simu, nilishikwa na wasiwasi nilitaka kumpigia Baba yake lakini nikaona haitakua poa.

Kwahiyo ni ikama nilipiga simu ikakata, kwamaana iliita sekunde moja tu. Nikakaa kimya kwani ilikua ni usiku kama saa nne hivi na nilitaka kujua tu kama wamefika au la. Niliendelea kumpigia simu mke wangu ila iliita tu bila kupokea.

Usiku kwenye saa nane hivi simu yangu iliita, kwakua nilikua bado sijalala vizuri kwani bado nilikua na mawazo kwanini mke wangu hapokei simu nikakuta ni Baba mkwe anapiga, ninapokea nikihisi labda ananiabia kitu, lakini alikua haongei, ghafla nikasikia sauri ya kama watu wamelewa wanaongea vitu havieleweki.

Baadaye nasikia sauti za miguno ya mapenzi, nilisikiliza kama dakika 5 hivi nikakata nikaona hayanihusu. Asubuhi mke wangu alinipigia na kuniambia alitoka na Baba yake na rafiki zake akasahaua simu nyumbani, nikamuuliza walirudi saa nngapi akaniambia kwenye saa kumi alfajiri kwani Baba yake alikunywa sana.

Nilipata shaka kwani usiku wake nilisikia vitu vya ajabu kama alikua na Baba yake inamaana ni yeye alikua anafanya mapenzi na Baba yake? Nilikaa kimya sikutaka hata kufikiria hicho kitu, lakini aliporudi nilihisi kama kuna mabadiliko, akawa hana furaha, yaani ni kama kuna kitu alikua anaficha.

Niliamua kuhack simu yake, kusema kweli natamani nisingefanya hivyo, nilikuta mke wangu wanatumiana picha za uchi na baba yake mzazi, uchi wa mnyama na nyingine ni kama video walichukua wakiwa kitandani uchi. Nilitaka kukaa kimya ila nilishindwa kuvumilia.

Nikaamua kumuuliza mke wangu kwanini wanatumiana picha za namna ile, nikidhani kama atashtuka aliniambia nisamehe tulilewa ndiyo tukajikuta tuko hivi ni Baba alipiga na simu yangu akaniamia nimntumie, hata hakuna kitu.

Anaongea kama vile ni kitu cha kawaida, nilimuuliza kama ana mahusiano na Baba yake akakataa katakata, utakufa na ushamba wako kwani kuna nini Baba kuniona hivyo wakati nikiwa mdogo alikua ananiogesha.

Nikilasirika na kutaka kumpiga tukaishia kusukumana akaondoka mpaka leo hajarudi, ananitumia meseji hawezi kuishi na mimi kwani nina hasira, kama unakasirika kwa vitu vidogo kama hivyo ukijua mengine si utakufa. Alinitumia meseji, ananiambia nimpe talaka yake hahitaji kuishi na mwanaume ambaye simuelewa.

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? Mke wangu nampenda, tuna watoto wawili, kila kitu kilikua vizuri. Natamani kumuacha lakijni sina uhakika kama wana mahusaino na Baba yake au la, vipi wanangu wataishije, nimekwama naomba suaidizi wako, kila nikiwaza nahisi kuchanganyikiwa.
.
Wakuu hii ni Copy and Paste Kutoka Sehemu Nyingine
Pole mkuu, haijalishi ni C&P.

Mungu keshakufunulia kila kitu wazi na kakupa mlango wa kutokea halafu unajifanya huoni mlango.

Talaka inahusu.
 
Nyumba nilio Wai ishi kimara kulikuwa na skendo Bab kutembea na bint ake ,nilianza kuamini baada ya kujiridhisha

Hi ishu wazaz kula watoto wao imekuwa kubwa ndio maana haya mijitu haikai kwenye ndoa baba anashinikiza mtot arudi nyumbna ajitegemee
 
Back
Top Bottom