Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Vijana mnakwama wapi.....hili nalo ni la kuja kuomba ushauri kwel.....???

Ndio maana wanawake wanadai usawa kama hizi ndio akili za vijana
 
Eti huna uhakika kama anamahusiano na umesema umeona video wapo bed sasa ili kupata uhakika ulotaka uone nn kwa mfano kuna vitu vinaudhiiiiiii
 
Angalia watoto wa siku hizi mnawaacha wanavaa hivyo mbele ya baba
Sasa mama anaona sawa tu mwanae avae hivyo mbele ya baba yake

Maadili yameharibika sana mpaka baba wengine wwmekuwa mazezeta na misukule na wanatawaliwa na wanawake na watoto

Hapo utamlaumu nani? Baba? Mama?
Au serikali maana kuna watu wanalaumu kila kitu mobile phones na utandawazi

Dunia imeisha Enzi zetu hata mvulana hasogei hapo
 
Daaaaaah vijana wa siku hizi bhanaaa
Ukute huyu kwenye sensa alihesabiwa kama mwanaume, wakati hana maamuzi na tabia za kiume
 
Pole sana chief. Niliwahi sikia habari flani kama hii huku mtaani kwetu juu ya mzee mmoja mfanyabiashara mkubwa sana .

Mzee aliachwa na mke aliyezaa naye mabinti wawili. Unaambiwa anapiga bint yake mkubwa na mdogo bila aibu japokuwa bint mkubwa alishaolewa.

Mabinti wakirudi home wanampa penzi then wanarudi kwa waume zao
 
Duuuh,hamna mke hapo mkuu.

Hamna hamna.,kaza moyo tu umptupe
 
Yaani mpaka hapa hujamuacha huyu shetani? Wewe jamaa una tatizo la akili sio bure!!
 
We Ni nkundu
 
Wakwetu mnawaita wa singo maza, mnaoa waliolelewa na baba. Hapa hapa yupo binti kazaa na baba yake mzazi.

Mtajijua,

Vumilieni

Lakini hakuna shida, mbona wote tunazaana ndugu wa damu moja? Vitabu vitakatifu vibatuambia kuwa wote ni watoto wa Adam na Eva/Hawa! Kwa hiyo siyo jambo geni kama huyu kazaa na Baba yake! Tunazaana ndugu wa damu moja hata tungejifanya kupiga chenga kwa kusema tupo koo au kabila au mataifa tofauti, damu ni ile ile! Au nasema uwongo ndugu zangu!
 
Mpelekee nange hizo picha ule miambili elfu angalau 10% ya mahari ukanywe pombe ujiliwaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…