Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

Daah. Kaongee na baba yake kabsa. Ajue umejua. Mpe talaka yake. Maisha mapya yatakuja. Na mama yake kama yupo ajue.
 
Kaa kimya nakuambia kaaa kimya usijishugulishe nae.

Hata akiimba talaka Kaa kimya Wala usijitikise.

Mchape kisaikolojia kwa kukaa kimya

Jifanye inakuuma na aone Hali Yako atakuringishia atakudengulia atakukomesha utajuta

Kumwacha hutoweza ukimbuka utamu wake na wanao.

We Kaa kimya tafuta mpango wa kando piga utoe sumu ya kichwani mental presure

Talaka usije kumpa hadi arudi default factory settings mwenyewe.

Na kukuhakishia analiwa na babake na atakuja Kiri huko mbele

Hapo Sasa unamlima. Talaka mama jeni bye bye!!!
 
Watu tunataka vitu real wewe unaleta copy n paste mada ambazo ziko serious

haya majibu yake huna maana hujui chochote kuhusu huyo binti na baba ake

hebu acha chukulia JF kama mtandao wa watu kupoteza tu muda,tuavyoandika

na kushauri watu sio kwamba hatuna kazi za kufanya unaona nawewe uanzishe uzi

uchoshe watu,unaboa na usirudie wakati mwingine njoo na jambo linalokuhusu ambalo

kweli linahtaji utatuzi,mada za humu zinasaidia watu miaka na miaka hatushauriani tu kupoteza muda hapa.
 
Ungetupiamo na tupicha twenyewe ili ushauriwe vizuri.
 
Niko kwenye ndoa miaka 7 na mke wangu, kila kitu kilikuwa vizuri mpaka wiki mbili zilizopita, mke wangu aliniaga kuwa anaenda safari ya kikazi. Yeye anafanya kwenye kampuni ya Baba yake ambayo inahusika na ujenzi, Baba yake ni mhandisi.

Mara nyingi huwa wanasafiri pamoja na sina wasiwasi kwani nilikuwa naamini ni Baba yake hakuna shida. Lakini safari hii kuna kitu kilibadilika, mke wangu alikuwa hapokei simu, nilishikwa na wasiwasi nilitaka kumpigia Baba yake lakini nikaona haitakuwa poa.

Kwahiyo ni kama nilipiga simu ikakata, kwamaana iliita sekunde moja tu. Nikakaa kimya kwani ilikuwa ni usiku kama saa nne hivi na nilitaka kujua tu kama wamefika au la. Niliendelea kumpigia simu mke wangu ila iliita tu bila kupokea.

Usiku kwenye saa nane hivi simu yangu iliita, kwakuwa nilikuwa bado sijalala vizuri kwani bado nilikuwa na mawazo kwanini mke wangu hapokei simu nikakuta ni Baba mkwe anapiga, ninapokea nikihisi labda ananiambia kitu, lakini alikuwa haongei, ghafla nikasikia sauti ya kama watu wamelewa wanaongea vitu havieleweki.

Baadaye nasikia sauti za miguno ya mapenzi, nilisikiliza kama dakika 5 hivi nikakata nikaona hayanihusu. Asubuhi mke wangu alinipigia na kuniambia alitoka na Baba yake na rafiki zake akasahau simu nyumbani, nikamuuliza walirudi saa nngapi akaniambia kwenye saa kumi alfajiri kwani Baba yake alikunywa sana.

Nilipata shaka kwani usiku wake nilisikia vitu vya ajabu kama alikuwa na Baba yake inamaana ni yeye alikuwa anafanya mapenzi na Baba yake? Nilikaa kimya sikutaka hata kufikiria hicho kitu, lakini aliporudi nilihisi kama kuna mabadiliko, akawa hana furaha, yaani ni kama kuna kitu alikuwa anaficha.

Niliamua kuhack simu yake, kusema kweli natamani nisingefanya hivyo, nilikuta mke wangu wanatumiana picha za uchi na baba yake mzazi, uchi wa mnyama na nyingine ni kama video walichukua wakiwa kitandani uchi. Nilitaka kukaa kimya ila nilishindwa kuvumilia.

Nikaamua kumuuliza mke wangu kwanini wanatumiana picha za namna ile, nikidhani kama atashtuka aliniambia nisamehe tulilewa ndiyo tukajikuta tuko hivi ni Baba alipiga na simu yangu akaniamia nimtumie, hata hakuna kitu.

Anaongea kama vile ni kitu cha kawaida, nilimuuliza kama ana mahusiano na Baba yake akakataa katakata, utakufa na ushamba wako kwani kuna nini Baba kuniona hivyo wakati nikiwa mdogo alikua ananiogesha.

Nikikasirika na kutaka kumpiga tukaishia kusukumana akaondoka mpaka leo hajarudi, ananitumia meseji hawezi kuishi na mimi kwani nina hasira, kama unakasirika kwa vitu vidogo kama hivyo ukijua mengine si utakufa. Alinitumia meseji, ananiambia nimpe talaka yake hahitaji kuishi na mwanaume ambaye si muelewa.

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? Mke wangu nampenda, tuna watoto wawili, kila kitu kilikuwa vizuri. Natamani kumuacha lakini sina uhakika kama wana mahusaino na Baba yake au la, vipi wanangu wataishije, nimekwama naomba usaidizi wako, kila nikiwaza nahisi kuchanganyikiwa.
.
Wakuu hii ni Copy and Paste Kutoka Sehemu Nyingine
Baba we umelogwaaaa amini kwambaaa
 
Mambo yake muachie mwenyewe, fanya mambo mengine...
 
[emoji116]
images%20(45).jpg
 
Unampenda lakini yeye anampenda babake
 
Toa huu upuuzi, kama haikuhusu umeitoa sehemu haitakuwa na maana kabisa. Kama ni wewe si useme tu. Kwan nani anakujua humu. (pole kwa kuchapiwa na baba mkwe)
 
Back
Top Bottom