Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Ndugu zangu habiri nyingi sana hamjambo?
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Kiukweli nampenda MKE WANGU sana ila wakati mwingine shetani anapitaga tu na pisi kali kinoma basi najisemea kimoyomoyo ujue mimi nimeoa afu afu toto kama hili linakatiza basi najisahaulisha naanza kutia mistari ya kuomba namba....Nikimaliza kupiga shoo tu namkumbuka sana MKE WANGU..
Huyu shetani alaaniwe tu hadi siku ya KIYAMA.