Mke wangu napelekwa Kalantini kwa siku 14 nitakumiss sana

Hahahahhhahh mie sio kimbaumbau,ni vile tu sijaukaribia hata huu mwili na huwa nashangaa huu unene mtu anaupataje?inakuwaje mtu anakuwa na mkono namna hii [emoji23]
Kuna maumbile ya mtu yanamfanya iwe rahisi kwake kunenepa. Wengine ni ulaji wa hovyo hovyo Kama mie hapa, wengine uzazi unawafanya wanenepe..tatizo linakuja kurudi kuwa na mwili wa kawaida hapo wengi ndo wanashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekuelewa baba Dickson
 

Hiyo ya maumbile na uzazi inaweza kuwa kweli

Kuhusu kula hii nafikiri inategemea,mfano mie sio mlaji,sipendi kula kabisa lakini kilos zangu hazibadiliki sana zinarange mule mule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…