Mke wangu napelekwa Kalantini kwa siku 14 nitakumiss sana

Mke wangu napelekwa Kalantini kwa siku 14 nitakumiss sana

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Covid-19.
IMG-20200314-WA0013.jpeg
IMG-20200305-WA0003.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahhhahh mie sio kimbaumbau,ni vile tu sijaukaribia hata huu mwili na huwa nashangaa huu unene mtu anaupataje?inakuwaje mtu anakuwa na mkono namna hii [emoji23]
Kuna maumbile ya mtu yanamfanya iwe rahisi kwake kunenepa. Wengine ni ulaji wa hovyo hovyo Kama mie hapa, wengine uzazi unawafanya wanenepe..tatizo linakuja kurudi kuwa na mwili wa kawaida hapo wengi ndo wanashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanao nenepa kwa uzembe, na pia wapo wenye asili ya kunenepa.
Hivyo basi, yawezekana hata huyo alivyo nona pengine hata yeye hapendi wala havutiwi na isipokuwa tu nilazima anenepe kwasababu hana namna nyingine ya kuzuwia unene wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa baba Dickson
 
Kuna maumbile ya mtu yanamfanya iwe rahisi kwake kunenepa. Wengine ni ulaji wa hovyo hovyo Kama mie hapa, wengine uzazi unawafanya wanenepe..tatizo linakuja kurudi kuwa na mwili wa kawaida hapo wengi ndo wanashindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ya maumbile na uzazi inaweza kuwa kweli

Kuhusu kula hii nafikiri inategemea,mfano mie sio mlaji,sipendi kula kabisa lakini kilos zangu hazibadiliki sana zinarange mule mule
 
Back
Top Bottom