Mke wangu ni chakula changu maarufu, wengine vya ziada tu na hukinahisha

Profesa

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
905
Reaction score
624
Usipime, mpaka nikaamua kumuoa, nilijua chakula hiki hakitaisha hamu ni maarufu na ndicho ninachokipenda na nilidhamiria kuhakikisha sitakichoka. Nitakiweka kwenye fridge na kukipasha kila iwezekanavyo ili kisichache na kibakie fresh. Nikila Ice Cream ni bahati mbaya maana sio chakula changu cha asili na sicho ninachokifurahia. Mke wangu pekee sitamchoka ndio chakula changu nilichokusuidia kukila maishani. Nikiwa mvivu wa kukiweka kwenye fridge, au kukipasha kitachacha na nitakichoka haraka. Na nikihisi kimepungua ladha hukiwekea viungo kadhaa wa kadhaa kuhakikisha utamu unarudi pale pale. eee mke wangu chakula changu cha kudumu nitakutunza na kukuhifadhi ili niendeleee kukufaidi siku zote tukiwa pamoja.
 
Inshallah mungu akuwekee.mpendane kwa salama na Amani ..
 
tooooooooobaaaaaaa.........kuna watu wanakula watu....
 
Mapenzi yana mambo watu washakua msosi huku,cjui mie naitwa jina gani wajamen lol!tunza mwaya chakula chako!
 
Hapo unapoamua kula Ice-cream a.k.a koni unakuwa mbali na friji au friji linakuwa limeharibika??
 
Na'dedicate hii Thread na HUSNINYO !
Na kama wapo wanaoniduia kwa husda nawatakia laana wapate mishipa ya mabusha hadi washindwe kuvaa Jeans!
Wafie vyooni .
 
Hehehe haya bhana Msosi wenye msisimko..............
 
Mkeo akikuita chkula wewe utajisikiaje,wacha kuwa na mawazo ya kizamani, ondoa fikra za mfumo dume kichwani kwako mkeo si chakula ni sehemu ya ubavu wako hata katika maandiko matakatifu imeandikwa hivyo:A S crown-2:
 
Mtu chake apendacho.........kila la kheri.
 
Wanaume wote wangelitambua hilo,ndoa zicngekua zinavunjika daily
 
Profesa yaani wewe ndio mtu wa kwanza kunifurahisha huku jamvini.Kwani kila siku ni kuponda tu wanawake na kashfa
kibao na malalamiko juu.
Keep it up!!!!! mwaaaaaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…