Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Usipime, mpaka nikaamua kumuoa, nilijua chakula hiki hakitaisha hamu ni maarufu na ndicho ninachokipenda na nilidhamiria kuhakikisha sitakichoka. Nitakiweka kwenye fridge na kukipasha kila iwezekanavyo ili kisichache na kibakie fresh. Nikila Ice Cream ni bahati mbaya maana sio chakula changu cha asili na sicho ninachokifurahia. Mke wangu pekee sitamchoka ndio chakula changu nilichokusuidia kukila maishani. Nikiwa mvivu wa kukiweka kwenye fridge, au kukipasha kitachacha na nitakichoka haraka. Na nikihisi kimepungua ladha hukiwekea viungo kadhaa wa kadhaa kuhakikisha utamu unarudi pale pale. eee mke wangu chakula changu cha kudumu nitakutunza na kukuhifadhi ili niendeleee kukufaidi siku zote tukiwa pamoja.