Mke wangu ni mchawi ama mama ndio mchawi?

Mke wako ni mchawi kwa 200% huku mama yako ni mchawi kwa 99.8%
Pole.
kama uko Dar wakutanishe wote wawili wakiwa wamevaa suruali nije nikiwashe niwatoe huo uchawi.
Huduma ni bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkeo na mama yako Ngoma dakika90 droo. Extra timu droo, penalty shoot out droo. Sasa sijue ufanye nini
 
Huna jeur ya kupunga upepo sea clif wew na ushirikina huo kama hukai manzesw bas tandika..pambaf...
 
Weee achana nao kaka sema wapende wote tu na uchaw wao ila kwa navyskia majin ayapendan na wachawi ... tengeneza mazingira ya kuish nao ivo ivo
Soma Qur'an ayatuh kursi mara 100 utakuja na majibu humu jukwani...mke atabaji salama..mama atabaji salama...lkn usome na mkeo pia
 
Huna jeur ya kupunga upepo sea clif wew na ushirikina huo kama hukai manzesw bas tandika..pambaf...
What was the reason that made you angry there?or are you the mother or wife mentioned there?
 
What was the reason that made you angry there?or are you the mother or wife mentioned there?

Pole sana bro,,,pole sana kwa yaliyokusibu..ata mimi ninapitia experience kama hiyo,,,ila kwangu mimi sio mke,,,since bado sijaoa ni kijana mdogo tu wa miaka 29,,,bali ni bibi yangu mzaa mama....sijui nianzaje kusimulia but mpaka sasa sijui cha kuamini,,,maana hiyo taarifa nimepewa na mama angu mzazi,,,na mama hiyo taarifa ananiambia kaithibitisha kwa watu watatu tofauti wenye majini,,,na hao wote nawafahamu ni watu wa visomo sana na ni watu ambao hawawezi kumnenea uongo bibi ata siku moja,,,,cha kushangaza tangu tujue hiyo taarifa ni kama vile bibi ana weweseka,,,simu zimekuwa nyingi sana za kujua tulipo,,tunafanya nini etc,,, yule mtu aliemuambia mama,,kamwambia siku zote hizi mama yako mzazi ndo anakuchezea wewe na wanao,,na amepewa adhabu ya kutanga tanga na kizazi chako,,,na hayo yote ni kwasababu mama aliyakataa hayo madude tangu usichana wake,,,basi ndo yanayomtesa koz ilibidi yeye ayarithu....Mimi sikuwa naamini kabisa haya mambo lakini daahhh,,,yamenifika,,,na kila nikitafakari naona itakuwa kweli,,,koz ata Mama mzaa Bibi aliwahi nitamkia kabla hajafa kwamba mimi na mama yangu tutakuja kutaabika sana kwasababu mama yangu kuna makosa makubwa sana aliyafanya.....Kwahiyo brother kwa jinsi nilivyoona hapo kwako,,,mama yako ndo mchawi,,,majini na wachawi hawapatani kaka,,,mke kakufungukia ukweli,,,hapo chakufanya tafuta njia ya kulitatua ilo swala bila ya kumpoteza mama yako...koz ukienda kanisani,,,kama mama yako ndo mchawi,,utamkosa...
 
Wewe jiulize swali moja,,,kama mama yako anaona,,na ni mama yako that means she is the first woman kwenye maisha yako,,first love,,kama anayo hiyo karama kashindwaje kukuambia tangu ulipoenda mtambulisha huyo mwanamke,,,so hapo kuna mawili,,,mama mchawi au wote wachawi,,,ila kama unataka kujithibitishia,,tafuta watu wenye majini,,,watatu tofauti wasiojuana,,,nenda wakuangalie
 
Ndio mama hana madhara kwangu ila mke ananiambia kuwa anataka kuchukua uhai wake hivi karibuni!..
Usijipe sana imani kuwa mama ako hawezi kukudhuru.... ka nimchawi akiambiwa kwenye vkao vyao akukill anakukill fasta bila hata second thought....huwajui wachawi wewe...
Kuna bimkubwa alikua mwanga kaua wanae woteee ohooo
 
Vyuma vimegongana anagani hapo MKUU. Hapo hamna mchawi hata mmoja.. mapepo tu yanataka kukuharibia mahusiano ya familia zako cha kufanya angalia kwa makini Kuna upande mmoja mapenzi yamezidi sana na kuna mmoja katambua eidha kwa mama care imepungua au kwa mke care imezidi sana .. kinyume chake hakikisha hauhadithii unachomfanyia mama kama mahitaji ya chakula na huduma zingine na inabidi uwe unamuulizia ulizia na mama mkwe na kwa mama mkwe jifanye haukauki na vizawadi vizidi kwa mama mkwe.. HAKUNA MCHAWI HAPO MKUU.. wajanja waganga wa mjini wanataka wakuvurugie familia zako MKUU
 

Wote mama yako na mke wako ni wachawi. Wamepimana nguvu kimya kimya ila imeshindikana kumpata mshindi wa wazi.

Ningekuwa wewe, ningemtimua mke, kwasababu pamoja na mama yako kuwa mchawi miaka yote hiyo hawezi na hakutaka kukudhuru. Ukimbakiza mke, ukubali kumpoteza mama which to me is not a good option.
 
Mama yako sijui ana shida gani.
Ila mkeo ana MPD (multiple personality disorder ). Kutokana na some psychological trauma/torture kwenye stage fulani maishani mwake, nafsi yake ilijigawanya kuwa nafsi zaidi ya moja (mara nyingine zinakuwa na majina tofauti) ambazo waswahili tunaziita majini au mashetani.
Nafsi zinaweza kuunganishwa kuwa moja tena (Hapo atakuwa amepona) kupitia hypnosis, excorsim au maombi kwa Mungu.
Ila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…