uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Kwa wale wenye changamoto.za Majini wasikilize kipindi icho kitakua hewani kupitia Azam tv kma tangazo linavojionyesha hapoView attachment 2077235
Wizi na utapeli, daktari Ni Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wale wenye changamoto.za Majini wasikilize kipindi icho kitakua hewani kupitia Azam tv kma tangazo linavojionyesha hapoView attachment 2077235
Mama yako anasema ana karama ya kuona matukio, Je kuna dawa ya kumuonyesha mtu maono yako? Hivyo Mama ni member, Pia Mke alipandisha mashetani, inaonekana naye kama sio member wa kudumu basi amepitapita huko wanakoongeza matatizo na hayo mauchafu aliyabeba pengine yamlinde. Sasa yawezekana mama alikuwa anjaribu kwa mkeo kumbe na mkeo nae kafungasha. Apo ita wote , Baba, Mama, Mkeo na Mkwe ikibidi. Na kama ukweni hawana itikadi za kishirikina watakusaidia sana kumaliza hiyo. Kabla ya kwenda church au wapi kwanza ita wote kila mmoja aeleze kwanini ana muhisi mwenzie, interrogation kwa wanawake is an esiest thing lazima watalipukiana na mmoja atasema ukweli tu. Pia wewe ni wakiume kama una uhakika na umejidhihirishia baba sio member, mvute chemba akupe dots za mama kisha kaa uka connect mwenyewe, Pia linganisha na za mkeo kwa miaka sita yote. Naimani utapata kitu.Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani, nikamkuta mke wangu kakaa chini sebuleni kama analia afu mdada wa kazi kasimama. Nikamuuliza mdada kuna nini hapa akaniambia naona kama dada kapandisha mashetani!! Ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona mtu au mke wangu kapandisha mashetani, yakawa yanalia kwa sauti kubwa mnoo huku anajipiga piga chini.
Baada ya dakika 4 za kulia yakanitaka tuanze mazungumzo ila kwa sharti yule mdada wa kazi ama mie nimshike sikio mke wangu "kiti" kwa lugha yao. Kupitia mdomo wa mke wangu yale majini/mashetani yakasema kuwa yamekuwa yakipambana na MCHAWI kwa takribani mwaka sasa ila leo yameona vita inataka kuwashinda hivyo kiti "mke" anaweza akazidiwa na kupoteza maisha.
Nikawauliza huyo mchawi wamemuona wapi au anatokea wapi? Yule jini akaniambia je unatuamini? Au hautuamini? Kulingana na shauku ya kutaka kujua hilo tatizo linalotaka kuchukua maisha ya mke wangu ikanibidi niombe kutajiwa kwa kujibu "ndio nawaamini" Basi yule jini aliyepo kwa mkewe wangu akaniambia bila hata kupepesa macho kuwa "Mchawi ni bi fulani" ambaye ni mama yangu mzazi kabisaaa. Nilishtuka sana kiasi kwamba nilitamani hata kuchapa fimbo wote waliokuwepo palee ila nikajikaza na kuacha lipite. Basi hiyo siku ikapita.
Baada ya siku kama 3 nikapokea simu kutoka nyumbani kwa wazazi wangu, nikaenda bila kusita kufika tu baada ya mama kuniona akaangua kilio na kunikumbatia kwa huzuni. Ikabidi nimuulize mama kulikoni? Kuna tatizo? Au kuna msiba? Akasema hapana kuna jambo nimekuwa namuhadithia baba yako kila siku hivyo na wewe yakupasa kulijua leo. Nikamwambia sawa mama niambie...basi akaanza kusema "ujue mwanangu mie mama yako huwa nina karama kama sio bahati fulani kichwani mwangu toka nikiwa binti mdogo tu, nina uwezo wa kuona na kuzungumza na vitu/viumbe ambavyo wewe kwa jicho lako hilo la nyama huwezi kuona"....baada ya maelezo mengi tu ya historia na nguvu zake hizo ndipo mama bila kusita akasema "Mwanangu mkeo ni MCHAWI" kama utakubali sema nikupe dawa ambayo itakusaidia kumuona bila yeye kujua ili ikusaidie kusadiki haya ninayo yasema na badae uchukue hatua...
Basi nikarudi nyumbani nikiwa na mawazo mengi nisijue nini kinaendelea hapa katikati. Nikafika nyumbani ile kuingia tu mke akaanza kupiga kelele kama jogoo huku akinifuata kwa hasira na kuniomba nimpe nilichopewa na huko nilipotoka. Nikashtuka mnoo!!
Ikabidi niitoe ile dawa na kumkabidhi mke wangu, baada ya dakika 3 akaniambia sasa achana na hii dawa ngoja nikupe ya kwangu ili ushuhudie mama yako anachotufanyia usiku.
Nikamwambia kwa sasa hapana ngoja nifikirie then nitakuambia unipe...
Ndugu zangu nipo hapa Sea clif napata upepo nikitafakari nini kinaendelea kwenye familia yangu haswaa kwa watu ninaowapenda mnoo. Je yupi ni yupi?
Nipeni ufumbuzi.
Sikulaumu sana mna naona ata ukiumwa na malaria yesu anakuponyaWizi na utapeli, daktari Ni Yesu
Sikulaumu sana mna naona ata ukiumwa na malaria yesu anakuponya
ukiondosha ujinga ulokua nao utafurahia maisha
Umeibiwa nn wewe?Wizi wizi
Umeibiwa nn wewe?
usikute ata iyo vocha kupta tabu hlf wasema wizi
Mjinga muache na Ujinga wakeWizi wizi
Amchape na mama yake pia?Waite wote wawili nyumbani kwako, sokota fimbo ya ufito mwembamba, chapa wote hadi waombe poo!
Hayo madudu bai bai!
Mjinga muache na Ujinga wake
Ibarikiwe mkuu hata mimi mkewangu ana tatizo la maluhani anapandisha mara kwa mara anapoona wachawi au kitu kibayaKama stori yako ni ya kweli, hapo wote wachawi hao...
Mama yako kakiri kuwa na 'karama ya kuona' watu wabaya, halafu kakupa nawe dawa ili uweze ona mauzazuza ya mkeo, kuwa na karama haina maana unakuwa na uwezo wa kutengeneza dawa...kama anatengeneza dawa huyo ni fundi tayari
Pia kwa mkeo ni wale wale tu, ana uchawi wa maruhani, na kitendo cha yeye kukupa dawa ina maana na yeye ni fundi...
Nina swali moja, kama mama yako ana karama ya kuona mauzauza, iweje hakuona kabla mwanamke uliyenaye hajawa mkeo?
Mkuu kma unataka msaada kuhusu tatizo lko nambie nikusaidie usione jambo dogo iloIbarikiwe mkuu hata mimi mkewangu ana tatizo la maluhani anapandisha mara kwa mara anapoona wachawi au kitu kibaya
Umetisha we m mikito tuuMajibu yote kanisani..jukwaa la mapenz tunajua mambo ya mikito tu
Hao wote wanga. Walikuwa timu moja wamezidiana speed. Mamaako ndio alimshauri mkeo aolewe na wewe baada ya kukutana anga zao. Sasa wamezidiana speed,wamechenjiana