Mke wangu ni mchawi ama mama ndio mchawi?

Hivi haya maimani huwa yanawapata wenye hofu ya Mungu Kweli?

Au wenye pesa zao?
 
Kama Imani yako inaruhusu fanya maombi kama hairuhusu nenda kaongeze tatizo kwa waganga.

kumbuka hilo ni tatizo la ki roho na wala si la kimwili.
ushauri unapaswa uwe wa kiroho zaidi na si wa kimwili.
Ndio waafrika tunapobaki na umasikini

We are too busy to invest our time and resources kwenye vitu vya kusadikika na kuacha tunavyoviona
 
Swali zuri sana ...nahisi walikuwa washirika ila kwasasa wametofautiana ndio maana kila mmoja anataka kumharibia mwenzie
 
Wanaume Tumeumbwa mateso! We jamaa pole sana...Pesa zet zinatuponza sana.
 
Suka mbona hutupi mrejesho Ila mm NATOa suluhisho la Hilo nisikilize mkuu Japo ni baya Sana Kwanza majini wanasifa mojaa ya fitna na kuchochea ugomvi na kufarakanisha japo huwa hawaongei uongo.

Narudia mkuu mashetani hawaongei uongo Ila wanatumia huo ukweli kukugombanisha na mama yako nanikweli mama yako ni MCHAWI na kama huamini nenda popote kwasoma nyota au mganga yoyote utaambiwa mama yako ni kweli MCHAWI.

Chakufanya usigombane nae ishi nao Kwa akili na usioneshe tofauti yoyote au kuonyesha uko upande wamkeo wanasema Mama ni mama hata aweje na msitiri Hana baya kubwa anaweza kutenda kwako Fanya maombi km muislam Waite masheikh wafanye visomo kwako km Tiba angalau mwezi mara moja maana mchawi sio Rafiki Kwa watoto atatesa watoto wako.
 
Mkeo ni Muislam, na hayo majini yake yalikuwa yanataka dhahabu si ndiyo? Umeliwa mkuu, mrudishe kwao uarabuni.
 
You need Jesus!
Hapo wote wana madhabahu za giza,salama yako wote wafunguliwe!

Tunaomba mrejesho mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama anakuaje mchawi for years watoto wake msijue? Wala asiwaletee madrama humo ndani?

Piga chini huyo mke.
Weee...hakuna watu wachawi kama wazazi yani mama/ baba na mtakaa nao na msijue...


Hapo MAMA ndo MCHAWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…