Mke wangu ni miongoni mwa wanawake waliopata mume ambae ni “Full package”

ni sina uhakika lkn Hivi viumbe huwa haviridhikiii naa pili isjekuwa kuna anayekulia taratibu na mkeo katulia tuliiii huko 6 by 6 anatoa visauti hivyo utazani unatoa bikra kumbe anakuvutia kasi
 
Huyo mkeo ndo kakwambia hivyo? Au unajipakulia minyama...
 
Sijaelwa kwanini sasa umeona uje kutuandikia hapa mambo ambayo ulitakiwa kuwaambia wakwe zako na mashemeji zako.
 
Uzi huu angeanzisha mkeo ndio ingekuwa vizuri zaidi..
We sifa zako atakupa mkeo na mkeo utamsifia wewe.
 
Jamaa wananishambulia sana, hawa wote ni wenye sura personal. Wanadhan uwanaume ni kua libaya libaaya. Nawaonea huruma
Kuna mtu anaamua sura yake iwe vipi? Mbona unang'ang'ania sana hili suala?

Mbali na kwamba ni tabia ya kitoto, huo ni ubaguzi pia.
 
Kajamaa kanachokula hela za mke wako hakana hizo sifa ulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…