babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Kaa utulie wewe akusifie yeye, we unasema full package huku analiwa kisoda hapo mtaani nayeye anamuita full backage fwala tu.Imagine unaolewa na mwanaume
1. Handsome
2. Ana elimu
3. Uchumi wa kati
4. Anabusara.
Na kubwa zaidi ni rijali hasa kunako 6*6.
Wengi wa mtaani utakua ana elimu na uchumi atleast. Ila ni mbaya wa sura na umbo, ana mitabia ya ajabu ajabu, na busara hana kabisaaaaa. Ni kama primate.
Am proud to be full package to my wife.
Kama sio muuza genge, fundi simu huku kamdanganya mkeo ni mtaalamu wa IT,
ni fundi seremala au boda au kinyozi.
We wakuja unakimbizana na makaratasi mjini huko mkeo anapembuliwa huku kitaa km mchele wa shinyanga