Mke wangu ni miongoni mwa wanawake waliopata mume ambae ni “Full package”

Kaa utulie wewe akusifie yeye, we unasema full package huku analiwa kisoda hapo mtaani nayeye anamuita full backage fwala tu.
Kama sio muuza genge, fundi simu huku kamdanganya mkeo ni mtaalamu wa IT,
ni fundi seremala au boda au kinyozi.
We wakuja unakimbizana na makaratasi mjini huko mkeo anapembuliwa huku kitaa km mchele wa shinyanga
 
Acha ushoga wewe, mwanaume hana taarabu kama zako
Jamaa wananishambulia sana, hawa wote ni wenye sura personal. Wanadhan uwanaume ni kua libaya libaaya. Nawaonea huruma
 
Ungekua full package usingekua na maneno mengi, punguza makasiliko
 

Ukijiamini hivi ujue utamegewa siku si nyingi! Kwa hii akili na wanawake ninaowajua Mimi, tegemea maumivu si mda mrefu!
 
Shogaa wewe mwanaume lijali hajisifie uzuri :another man down" jamani saidieni vijana wa 2000 wanaisha mdogo mdogo.
Non-full package boy
 
Kapumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…