Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

Jambo gani acha kuficha ficha wakati unataka msaada
 
anatokwa na maji maji sehemu za uke pale mtoto anapo cheza@nitonye

suala la kawaida ilo, lkn kumbuka uwe unastua kidogo kidogo ila sio uende unywe viroba urudi imekusimama ukampalamie utaharibu mimba, piga kimtindo juu juu sio ukomae mpaka uzamishe yote.
 
muda huo ni muafaka kutokwa na huo ute...lakini je yanatoka yenye rangi gani?yana harufu? jitahidi kuhudhuria clinic pia....
 
suala la kawaida ilo, lkn kumbuka uwe unastua kidogo kidogo ila sio uende unywe viroba urudi imekusimama ukampalamie utaharibu mimba, piga kimtindo juu juu sio ukomae mpaka uzamishe yote.
hahahaaaa
 
Mwezi wa nane huwa si mzuri sana kwa matukio ya wajawazito nenda cliniki kesho wakamchunguze na huo sio muda wako kumwingilia sasa hivi maana kuna uwezekano wa kujifungua wiki mbili kasoro wanasemaga watu hasa watoto wa kike
 
Jamani tafadhari kidogo nimeshindwa kutoa ufafanuzi wa post ya shindu lelo kwasababu sim yangu imezima charg na sasa nimeazima sim niendelee na mada
 
mwambie aende hosp kama majimaji hayo ni mengi
 
suala la kawaida ilo, lkn kumbuka uwe unastua kidogo kidogo ila sio uende unywe viroba urudi imekusimama ukampalamie utaharibu mimba, piga kimtindo juu juu sio ukomae mpaka uzamishe yote.

Ushindwe na ulegee katikati ya miguu. Laana we
 
take ize less than 2wiks utabeba katoto ndo sala zenyewe izo, ulitaka itoke fanta orange hahahahaha
 
Back
Top Bottom