Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

Mke wangu ni mjamzito na sasa ujauzito wake una miezi nane na week mbili ila kuna jambo linanishanga

Ishu iko ivi tokea awe na ujauzito huu ni mwezi wa 9 yani kwasasa mimba ina meizi 8 na week2 kwa hiyo kuna maji maji yanatiririka sehemu za uke pale mtoto anapocheza tumboni@Emma


Kitaalamu wanaiita leaking ambapo ni kile kiwambo/membranes za kuzuia maji maji ambayo mtoto anaogelea yasitoke unakua unavuja. Inategemea na kiwango cha uvujaji ili kuweza kuleta madhara. Madhara yanayoweza kutokea ni kwa mtoto kupata maambukizi akiwa tumboni intrauterine infections au yakitoka mengi kabla ya muda wa kujifungua mama anaweza akapata shida wakati wa kujifungua. Ushauri wangu muone daktari kwenye clinic iliyo karibu nawe
 
Aende kwa daktari wake akamweleze hilo tatizo;
watu tumezaa watoto wengi ila kitu kama hicho
sijawahi kukiona.
 
Jf bana kiboko, aliyeanzisha uzi ni Shindu Lelo halaf anayejibu wadau ni TWALIBU MAKOSA! Amazing! This means ni Mtu mmoja na I'd mbili tofauti ila kashindwa kuzi-manage!

Unajua nimewaza kama ulivyowaza wewe lakini mimi nilienda mbali zaidi kwa kuhisi Shindu lelo na twalibu wanamgija(kugija) mwanamke mmoja ambaye ndiye huyo mjamzito. Mnisahihishe kama nimekosea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom