kijumbamshale
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 267
- 87
Ishu iko ivi tokea awe na ujauzito huu ni mwezi wa 9 yani kwasasa mimba ina meizi 8 na week2 kwa hiyo kuna maji maji yanatiririka sehemu za uke pale mtoto anapocheza tumboni@Emma
Kitaalamu wanaiita leaking ambapo ni kile kiwambo/membranes za kuzuia maji maji ambayo mtoto anaogelea yasitoke unakua unavuja. Inategemea na kiwango cha uvujaji ili kuweza kuleta madhara. Madhara yanayoweza kutokea ni kwa mtoto kupata maambukizi akiwa tumboni intrauterine infections au yakitoka mengi kabla ya muda wa kujifungua mama anaweza akapata shida wakati wa kujifungua. Ushauri wangu muone daktari kwenye clinic iliyo karibu nawe