Mke wangu ni mjamzito; naomba ushauri

Mke wangu ni mjamzito; naomba ushauri

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
Habari zenu wanajamii!

napenda kupata ushauri toka kwenu. mke wangu ni mjamzito na huu ni ujauzito wake wa mara ya kwanza.

kwangu mimi kusema kweli ni vigumu kuelewa mabadiliko zaidi ya hii ya kubadili aina ya vyakula kila siku.

Je kuna mabadiliko gani mengine ya kisaikolojia yanayoweza kumtokea mama mjamzito? na Je ninaweza kufanya nini katika hali kama hii? asanteni sana!
 
Shomari;

Sijui pa kuanzia maana ni mengi yanatokea, physically, emotionally na hata hormonal changes!! Tafuta kitabu kinaitwa "WHAT TO EXPECT WHEN YOU ARE EXPECTING"
 
Ni kuwa mpole tu na kumchukulia kama alivyo..zidisha mapenzi kwake na uwe karibu nae zaidi.. hii naona inasaidia sana kisaikolojia kwake
Pia Inategemea maana kila mmoja huwa ana mabadiliko yake tofauti..

Unaweza shangaa akakuchukia au akakupenda zaidi uwe karibu yake mala kwa mala ..wengine wanakuwa na vihasira vya hapa na pale kununa nuna ovyo..

Wengine hayo yote hayapo ...
 
Fl1 kaandika kila kitu hapo hayo ndio niliokutana nayo na ni mtihani mkubwa mkuu.

ukiweza kufatisha aliyoyasema fl1 basi mambo yatakuwa vizuri.zaidi ya hapo hongera sana na mungu hawa bariki mpate mtoto mwenye afya njema.
 
kisaikolojia anakuchukulia wewe as the cause......... sasa hapo pana imlication..... kama laivyosema FL1 kuna jibadiliko vingine haina kichwa wala mgu na vingine havipo kabisa........ ila you will alwayz remaina a focal point of her mind wahtsoever......... kuna nadharia ya kisaikolojia inasema mwanake mjamzito amabye hajaolewa, tumbo lake likitangulia hulivuta nyuma lirudi...... na yule aliyeolewa, tumbo likitangulia humvuta na yeye hulifuata............ hivyo ndo aana unaona wajawazito wenye ndoa huwa na matumbo makubwa zaidi ya wajawazito wasio na ndoa mfano binti akipata ujauzito akiwa bado shule, mnaweza kusikia tu kajifungua bila watu wengi kunotice ujauzito aliokuwa nao................

hii yote iko cenyralized kwa mume .......... sasa take care........ akikutuma mnunulie kitu fulani, nenda saa hiyohiyo mwnyewe na usithubutu kumtuma mwingi, ama ukimtuma ufanye siri na asijue, kwani anaweza kukikataa na hata kuanza kulia kuwa umthamini.......... akitaka uache kazi ili ushinde naye nyumbani, mwambie akuruhusu japo siku hiyo upeleke barua ya kuresign halafu utarudi............. ukifika job piga mzigo ukirudi mwambie foleni ama trafiki alikupiga bao........... ili mradi utie akili kichwani hadi atue mzigo..............

the bottom line........... usiseme "mke wangu ana mimba" sema "sisi tuna mimba" kwani hata wewe unaathirika kisaikolojia na hiyo mimba "yenu" japo wewe hujijui................ na kwa vile umeoa, principle inabaki palepale kuwa tumbo likitangulia linakuvuta na wewe unalifuata......... ila cmparatively mwanume hubaki less vulnerable ................
 
Na kweli, nilishamuona jamaa mmoja toka mkewe kapata ujauzito yy na malimao na pilipili yani akisikia tu harufu ya kitunguu ni kutapika utafkr mimba kaibeba yeye. Ajabu siku mke alipojifungua nae akapona
 
Ni experience hiyo Akili au?

Akili hiyo ni experience au ?
 
nitajitahidi kufuata ushauri wenu mlionipa. asanteni sana.
 
Mkuu hii nimeipenda tena sana!
 
Na kweli, nilishamuona jamaa mmoja toka mkewe kapata ujauzito yy na malimao na pilipili yani akisikia tu harufu ya kitunguu ni kutapika utafkr mimba kaibeba yeye. Ajabu siku mke alipojifungua nae akapona

Mmmhhh!!! hii kali ya kumalizia 1/3 a mwaka!!!

Tiba
 
kisaikolojia anakuchukulia wewe as the cause................
hii yote iko cenyralized kwa mume .......... sasa take care........ .....
the bottom line........... usiseme "... wangu ana mimba" sema "sisi tuna mimba" .....................

Ni vema wanaume wakaelewa vizuri hayo, tena wayatilie maanani. Kuna baadhi wanathubutu kuwaacha wake zao au magalfriends zao wakikimbia adha za mimba; mtoto akizaliwa wanadai 'mtoto wangu', mtoto wako my a''. Msione vyaelea vimeundwa.

Tena t is high time kuanza kuegemea identification toka upande i.e surnames zisiegemee upande wa baba, na jina la mama liwepo.
 
Akili hiyo ni experience au ?

hahah, unachokoza mpendwa.......... umesahau pearl yuko humu?..... ni research na ka-experience kadooooooooooogo ....... tupe basi experience yako dear, hope umeishajaliwa kid(s).......
 
^ hahaha Sorry basi kama nimekusababishia ushikwa shati... mie sina experience...hii project ya production
(kids) bado naifanyia kazi haijakamilika bado...
 
Habari zenu wanajamii! napenda kupata ushauri toka kwenu. mke wangu ni mjamzito na huu ni ujauzito wake wa mara ya kwanza. kwangu mimi kusema kweli ni vigumu kuelewa mabadiliko zaidi ya hii ya kubadili aina ya vyakula kila siku. Je kuna mabadiliko gani mengine ya kisaikolojia yanayoweza kumtokea mama mjamzito? na Je ninaweza kufanya nini katika hali kama hii? asanteni sana!

Naona ushauri wameshatoa wanajamvi waliotangulia, mimi labda niwape hongera tu wewe na mwenzi wako kwa hatua mliyofikia na kuwatakia kila la kheri.
 
Back
Top Bottom