kisaikolojia anakuchukulia wewe as the cause......... sasa hapo pana imlication..... kama laivyosema FL1 kuna jibadiliko vingine haina kichwa wala mgu na vingine havipo kabisa........ ila you will alwayz remaina a focal point of her mind wahtsoever......... kuna nadharia ya kisaikolojia inasema mwanake mjamzito amabye hajaolewa, tumbo lake likitangulia hulivuta nyuma lirudi...... na yule aliyeolewa, tumbo likitangulia humvuta na yeye hulifuata............ hivyo ndo aana unaona wajawazito wenye ndoa huwa na matumbo makubwa zaidi ya wajawazito wasio na ndoa mfano binti akipata ujauzito akiwa bado shule, mnaweza kusikia tu kajifungua bila watu wengi kunotice ujauzito aliokuwa nao................
Ni experience hiyo Akili au?
hii yote iko cenyralized kwa mume .......... sasa take care........ akikutuma mnunulie kitu fulani, nenda saa hiyohiyo mwnyewe na usithubutu kumtuma mwingi, ama ukimtuma ufanye siri na asijue, kwani anaweza kukikataa na hata kuanza kulia kuwa umthamini.......... akitaka uache kazi ili ushinde naye nyumbani, mwambie akuruhusu japo siku hiyo upeleke barua ya kuresign halafu utarudi............. ukifika job piga mzigo ukirudi mwambie foleni ama trafiki alikupiga bao........... ili mradi utie akili kichwani hadi atue mzigo..............
the bottom line........... usiseme "mke wangu ana mimba" sema "sisi tuna mimba" kwani hata wewe unaathirika kisaikolojia na hiyo mimba "yenu" japo wewe hujijui................ na kwa vile umeoa, principle inabaki palepale kuwa tumbo likitangulia linakuvuta na wewe unalifuata......... ila cmparatively mwanume hubaki less vulnerable ................