Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. mvumilie mrekebishe taratibu.
hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya
kila kukicha anazidi kujiona yeye ni malaikamwombe Mungu atakusaidia kumweka ktk hali ya kibinadamu.
long time kitambo, nimemvumilia sasa nimechokaKaanza leo?
kila kukicha anazidi kujiona yeye ni malaika
kwa nini umekonkudi mke ana matatizo ya malezi?
Ulishakumbana na mwanamme mwenye low self esteem?
Atujuze kwanza elimu yake na umri ndo tutaweza toa ushauri
angalau na ujuaji wake ukoje ili tupate picha kamili.
she holds masters degree in agricultural engineering and she is 32 yrs