MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

MKE wangu ni mjuzi wa kila jambo, kamshinda hata MUNGU

Kuna jamaa aliwahi kusema mke wake alikuwa mkorofi, basi dawa yake ni kumpa ujauzito kila baada ya interval fupi fupi ! Ha ha haaa!

hiyo njia ya mimba sidhani kama itafanya kazi zaidi utajiongezea matatizo
 
aaah...usikute unalalamika kumbe hata mpunga hutafuti.....u-mariyoo siyo mzuri.....samahani..nilikua nauliza tu
 
Duuuuhhhh!Mimi nafikiri ni bora ukaachana naye;kwasababu,ataendelea kukusumbua tu.
 
Natamani kuchangia hasa hapo kwenye tribalism lakini naogopa ngoja nikae kimya.mrudishe kwao mwezi akajifunze ataona aibu
 
Mke wako mjuzi wa kila jambo anajua solution ya Goldbach Conjecture? Inawezekana kuna kipaji cha hazina kubwa unakichezea.

Hebu mpe kazi atutafutie jibu labda tunaweza kuingia katika historia kwa hili Tanzania.
 
huenda wewe humwelewi mke wako, inaonekana anatatizo la malezi, yaani hayo anayoyafanya kwao yalikuwa yanakubalika.ndo maana wewe unaona anamdharau baba yake, lakini huenda baba yake hana tatizo na tabia za huyo mwenzio. mvumilie mrekebishe taratibu.
hizo ndo taabu na raha, siyo chuo kikuuu wala uhaya

Na inawezekana pia ni tabia tuu aliyojijengea. Ni mara nyingi nimeona vijana walopewa malezi bora na wazazi wao wakibadilika na kuwa watu wa ajabu kabisa ukubwani.
 
Ndoa ni msalaba,kwani kaka hukumchunguza kabla hujamuweka ndani?pili issue ya kabila sio kwani hata waliooa kwenye kabila zao nao wanalalamika tu kama wewe.Ukweli dada zetu wamebadilika sana,wengi wanataka kuishi maisha ya kwenye tv,nguo mpeleke dry cleaner,kula mghahawani,kila weekend out na maamuzi afanye yeye,ukiamua wewe nyumba haikaliki.Kama mmeshazaa vumilia kwa ajili ya wanenu,kama utaamua kutengana mtawapa tabu watoto wenu.
 
kuna kitabu nlichosoma kinasema mapenzi yanapokua machungu halafu hutaki kuondoka eti utawaumiza watoto c kweli kwani saa nyingine kubaki kwako ndo kunaweza kuzidisha kuwaumiza zaidi pindi wanapokuona hauna raha na mwenzio anavyokutreat
 
Kuna jamaa yangu kaoa Mkurya. Mke ni mbishi ile mbaya, halafu tena ni mbabe na anamiguvu. Mume akibisha anapigwa kama mtoto mdogo
 
hao ndo wahaya
bwana,utasikia ninkimanya ekyo,oo mara ntulima tuti tushuba twekondeka. .
.mpaka wanaboa.

shika adabu yako wewe mbona mimi mamsap wangu ni muhaya lakini tunaishi vizuri full heshima na malovee kwa sana,tabia mbaya haina kwao ni mtu mwenyewe
 
Ushauri wangu mbaya si watu wa mombasa dawa yao tunayo kuna kitu anataka we umtimilizii angetulia na kukuheshimu sana huyo
 
Back
Top Bottom