Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
ukilinganisha kipato chako na chake nani yupo juu?
Katika kipindi cha uchumba hukuiona hiyo tabia yake? pole sana

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?

kwanza, wewe elimu yako ni ipi?
Nipe mantiki ya kuhusisha elimu yake na kabila lake?
Baba yake hajamuheshimu nini?
Huo ujuaji unaouzungumzia ni upi?
Halafu unacheza wewe, Mungu kaingiaje kwenye heading? Ulishasikia neno 'blasphemy?'
Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala kumthamini,
Jamani je wanawake wote waliosoma vyuo vikuu wako hivi au ni huyu tu mke wangu wa Kihaya?
Piga chini arudi kwao akapigwe katelelo labda atakuwa na dabu, kumamae.